Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

kwa sasa wacha tuendelee kubeba watalii, watafidia hasara unayodai tunapata.

hakuna mtalii anatoka Rwanda na Zambia

hakuna mtalii anapiga ruti za kuzunguka Mwanza Dodoma

dege linatengeneza hasara mwanzo mwisho
 
hakuna mtalii anatoka Rwanda na Zambia

hakuna mtalii anapiga ruti za kuzunguka Mwanza Dodoma

dege linatengeneza hasara mwanzo mwisho
Dreamliner 737 itaanza safari za kimataifa muda ukiwadia
 
Dreamliner 737 itaanza safari za kimataifa muda ukiwadia

Kimataifa kuchukua watalii wapi, India?

Nenda huko Zurich and Amstedam kashindane na KLM, SWISS AIR, tuone kama kuna mtalii ata opt kidege cha nchi ambayo safety and maintenance records za ndege ni siri ya Usalama wa Taifa
 
Endeleeni kukomalia kwenye umbea na porojo. Mimi nawapa tawkimu na uhalisia wa mambo kama yalivyo. ATCL haijafikia hata 1/32 ya 'destination' ambazo KQ ilikuwa inatua kote duniani miaka minane iliyopita.
Kila shirika lina namna yake ya kujiendesha, tunaomba utuambie na faida wanapata kiasi gani?
 
Noted. Nukuu busara za MH Kikwete, 'za kuambiwa, ongeza na za kwako'.
 
This industry is too complex for you to understand
 
Kwisajuwa io avatar yako kwenye natoka. Si wa inji hii. Awezi sifia ata sigu hii? Ata sigu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimataifa kuchukua watalii wapi, India?

Nenda huko Zurich and Amstedam kashindane na KLM, SWISS AIR, tuone kama kuna mtalii ata opt kidege cha nchi ambayo safety and maintenance records za ndege ni siri ya Usalama wa Taifa

Darasa la mwisho kabla ufaulu kuwa mchawi ni wivu.

Nyie watu mna wivu tena wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…