Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

kwa sasa wacha tuendelee kubeba watalii, watafidia hasara unayodai tunapata.

hakuna mtalii anatoka Rwanda na Zambia

hakuna mtalii anapiga ruti za kuzunguka Mwanza Dodoma

dege linatengeneza hasara mwanzo mwisho
 
hakuna mtalii anatoka Rwanda na Zambia

hakuna mtalii anapiga ruti za kuzunguka Mwanza Dodoma

dege linatengeneza hasara mwanzo mwisho
Dreamliner 737 itaanza safari za kimataifa muda ukiwadia
 
Dreamliner 737 itaanza safari za kimataifa muda ukiwadia

Kimataifa kuchukua watalii wapi, India?

Nenda huko Zurich and Amstedam kashindane na KLM, SWISS AIR, tuone kama kuna mtalii ata opt kidege cha nchi ambayo safety and maintenance records za ndege ni siri ya Usalama wa Taifa
 
kenya-airways-10year-strategy-9-728.jpg
Endeleeni kukomalia kwenye umbea na porojo. Mimi nawapa tawkimu na uhalisia wa mambo kama yalivyo. ATCL haijafikia hata 1/32 ya 'destination' ambazo KQ ilikuwa inatua kote duniani miaka minane iliyopita.
Kila shirika lina namna yake ya kujiendesha, tunaomba utuambie na faida wanapata kiasi gani?
 
Humu ndani, kwa taarifa yako kuna watu aina yako na vile vile kuna watu wamebobea kwenye nyanja mbali mbali na usidhani wote humu ni watu wa 'face book'
Vyovyote usemavyo ATC ni mali ya Serikali na hizo ndege ni mali ya serikali.
Serikali ilinunua ndege hizo kwa TGFA kutokana na madeni mengi ambao ATC ilikuwa inadaiwa sehemu mbali mbali. Kwa kuhofia kuwa kunauwezekano wadai hao wangeweza kuzuiwa ndege hizo iwapo zingekuwa kwenye safari zake nje ya nchi. Kuondoa uwezekano huo, ATC imekuwa ikilipa madeni yaliyosababishwa na viongozi waliopita na wamefanikiwa kwa kiasi cha zaidi ya 75%.
Noted. Nukuu busara za MH Kikwete, 'za kuambiwa, ongeza na za kwako'.
 
Hiyo press statement ni kituko, yaani unakodisha ndege 20 toka wa mashirika mengine, halafu tena unawakodishia wengine ndege 3, sasa kwanini usikodishe to 17 badala ya 20 kama hizo 3 huzihitaji? Hahaha

Na hadi sasa ndege ambazo imashazilipia na inazimiliki fully ni 3 tu, zingine zote zinaweza kuchukuliwa na wenyewe endapo zitashindwa kulipiwa. Source hiyo hapo chini
https://www.businessdailyafrica.com...r-17-planes/4003102-5009176-ggrdi8/index.html
This industry is too complex for you to understand
 
Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
Kwisajuwa io avatar yako kwenye natoka. Si wa inji hii. Awezi sifia ata sigu hii? Ata sigu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimataifa kuchukua watalii wapi, India?

Nenda huko Zurich and Amstedam kashindane na KLM, SWISS AIR, tuone kama kuna mtalii ata opt kidege cha nchi ambayo safety and maintenance records za ndege ni siri ya Usalama wa Taifa

Darasa la mwisho kabla ufaulu kuwa mchawi ni wivu.

Nyie watu mna wivu tena wa kike.
 
Back
Top Bottom