Air Tanzania ups stake for East African skies

Kenya Airways (KQ) has at least four daily flights to Dar es Salaam, five to Entebbe, four to Lusaka and at least one daily flight to Livingstone (Zambia). KQ also flies to two other cities in Zambia.

KQ bado wanaongoza sanaaa
Mojawapo ya sababu za KQ kupata hasara sana pamoja na kuwa imekuwa kwenye gemu kwa muda mrefu ni huo na wingi wa route ambazo huwa hazina wateja wa kutosha kulingana na gharama zake.
 
Kama hali ni hii kwa ndege 11 tu, Itakuwaje zile tano mpya zikifika?

Hivi Watanzania tunaelewa vizuri anachofanya Rais Samia?

Hii mnajua tunatisha sana EAC kwa sasa?
Tuna destinations ngapi mpk Sasa?
 
kzungu kmenfanya nisisome chcht
 
Hiyo exchange rate imenisumbua hivi Dora 300 inakuwa Sawa na 37,000 .kweli ?
 
Wazee wa kupinga kila kitu. Mtakufa kwa chuki mwaka huu. 😀

Mama Samia endeleza kazi, Watanzania wengi tunakuunga mkono.
 
Good news!!keep it up tuache fuckups zingine za ajabu ajabu!!!
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…