Air Tanzania ups stake for East African skies

Mbona huleti hiyo hasara ya 400BL uliyosema ili nasisi tuione,
Kwani ndege zenyewe ni zipi? Mama aliagiza ndege na kuzipokea tayari? Au ndo zile tulizomsakamia Jiwe na bado tunaendelea kumtukania?

Mungu tujaalie maarifa!
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Kwa nini wanaendelea kufanya biashara huku wakioata hasara? Ukijibu swali hili basi akili yako iko sawa!
 
Kwa nini wanaendelea kufanya biashara huku wakioata hasara? Ukijibu swali hili basi akili yako iko sawa!
Wanaendelea kufanya biashara kwa ruzuku ya serikali wakitegemea siku moja mambo yatakuwa mazuri. Ni kama Tanesco, wana hasara na madeni makubwa lakini huwezi ukasema tanesco waache kuzalisha umeme, serikali inachota hela kwingine na kupeleka Tanesco ili angalau taa ziendelee kuwaka. Ndio mambo nchi hii haiendelei mradi mmoja unakula miradi mingine.
 
TANESCO inaweza isipate faida ya vitabuni hata siku moja! Sizungumzii hasara zinazotokana na uzembe bali hasa inayotokana na uwezo wa watanzania kununua umeme ikiwa zitawekwa bei zinazohusiana na gharama halisi za kupata umeme majumbani na hata sehemu za kibiashara. Hiyo hasara na dhahama ambayo ingekuwapo iwapo gharama zenye uhalisia zingetozwa ni ndogo sana! Multiplying effect! Kwa msingi huo huo ndivyo soko la usafiri wa anga lilivyo ndgug yangu. Leo kenya Airways akifa madhara yake kwenye soko la uitalii la Kenya ni catastrophic! Ukiona Seriakli inaendelea kuwekeza au kuipa ruzuku kampuni yake au binafsi jua kuna maslahi mapana ya kitaifa. Emirate, Turkish, Rwandair, angalia post covid stimulus kwa mashirika ya ndege ya Marekani na Ulaya!Kwa ufupi! Kwa mtizamoi wa kisiasa jibu ni: Ndio mambo ya nchi hii haiendelei😁
 
Ila hapo kwenye
Nauli sijaelewa vizuri nikweli Tanzania- Kenya itakuwa sh 37,000+?? Na Ni pesa ya tz or Kenya??
 
iambie ATC wakati inarudi iwe inakuja na madumu ya maji - hali ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…