Air Tanzania ups stake for East African skies

Baada ya three months mje hapa
Nawahakikishia nusu ya routes zitakufa kifo cha mende
 
Hao Kenya airways, south Africa airways,na wengine siyo wajinga kuendela na biashara ya anga pamoja na hasara unazoelezea

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo bei ni sawa? Nauri ya kutoka mwanza - Karagwe kwa basi!
 
MWENYE ENZI MUNGU IBARIKI TANZANIA YANGU KWA BARAKA ZOTE NA AMIN TENA NASEMA AMIN
 
Kingine ATCL wangeweza kuangalia na kuboresha ili kuvutia biashara ni kwenye huu mpango wao wa Twiga Miles Frequent flyer program. Unfortunately kwa ATCL, huwezi earn miles kutoka kwa partner airlines (ambao sijui kwa kweli maka ATCL ina partner airlines). Mashirika mengi ya ndege hapa Africa na nje yamejiunga na mpango wa kuweza pata miles hata ukisafiri na shirika lingine la ndege kwenye uanachama wao. Mfano Ethiopian Sheba Miles unaweza kupata bonus miles hata ukisafiri na ndege zingine, KQ wao wameungana na KLM/Airfrance Flying Blue Program, etc, etc. Ila kwa ATCL kwa kweli sijui mpango gani wanao kuvutia biashara ili wawe na frequent fliers with some benefits
 
Geita ni gani maana lugha ya Malkia piga chenga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…