macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwa kifupi nimemaanisha kuwa kinachotokea kwenye hizi ndege ni matokeo ya planning na uendeshaji mbovu wa serikali na shirika lakini siyo tatizo kutoka kwenye Boeing per se. Air Tanzania ina ndege za kampuni tofuati tofauti lakini kila siku kunawa na sababu za kijinga za kuhalalisha ndege inaposhindwa kufanya kazi.Utakua haujanielewa nimeongea hivyo ili uelewe kiurahisi na bado haujaelewa tofauti ya biashara ya magari na ndege ni nini au Meli? Engine ya Meli au Ndege ikifanyiwa matengenezo zipo kampuni zaidi ya nne zinaweka lebo kukagua kilichofanyika na ile kampuni ya kwanza sasa kama haujafanya visibility study ya kutosha utabaki kila siku unaona ndege ni kitu hatari sana na kubaki kuferi...magari yamekuja ya Mchina hapo Mwendokasi yanaharibika hovyo hovyo kwa safari fupi pana watu walikaa kweli kufanya hiyo tafiti aina gani za Engine zitadumu kwenye hii kazi ya safari fupi fupi...