Air Tanzania yapigwa Marufuku kufanya safari zake Katika nchi 28 za Umoja wa Ulaya kwasababu za Kiusalama

Huyo jamaa mjinga sana ana tatizo la slavery mentality.
 
Lazima tuchague upande mmoja kama Kenya sasa huku mara uchina mara unajifanya uko na wazungu
 
Nimeona Gerson Msigwa anakanusha. Hivi wewe baba umerudishwa kwenye hicho kitengo ili useme uongo??? Hauoni aibu dunia ya sasa unasema uongo kila kitu kipo wazi mtandaoni Unasema Tanzania haijazuiwa wakati Spreadsheet ipo inasambaa mitandaoni. SHAME ON YOU
 
The European Union (EU) has announced a ban on Air Tanzania flights from entering the airspace of its 27 member states, citing the airline's failure to meet international aviation safety standards.

“The European Union has today updated its list of airlines banned from operating in or subject to operational restrictions within the EU,” reads a statement.

The statement further explains that the decision to blacklist Air Tanzania stems from safety concerns identified by the European Union Aviation Safety Agency (EASA).

With this decision, Air Tanzania joins a list of 129 airlines barred from operating in the EU. The airline has been grouped alongside seven other carriers flagged for significant safety challenges, including Air Zimbabwe (Zimbabwe), Avior Airlines (Venezuela), Blue Wing Airlines (Suriname), Iran Aseman Airlines (Iran), Fly Baghdad (Iraq), and Iraqi Airways (Iraq).

Commenting on the development, EU Commissioner for Sustainable Transport and Tourism, Apostolos Tzitzikostas, expressed a willingness to collaborate with Air Tanzania to help the airline meet the necessary safety requirements.

#TheCitizenUpdates
 
Simple tu! Na hizo Nchi 28 za Ulaya tunaziomba zisijaribu kukanyaga Anga la Tanzania bila ruhusa yetu! In Magufuli voice!!
 
Bora maana yake Propoganda za tumsifu mwenyekiti zilikuwa pambe sana.
 
Bw. Apostolos Tsitsikostas, Kamishna wa Usafiri Endelevu na Utalii
Kamishna Apostolos Tzitzikostas mtu mzito sana amekazia usalama sekta ndogo ya anga , baada tu ya kuingia ofisini juzi juzi kufuatia sifa kemkem alizopewa na Rais Ursula von der Leyen, (President of the European Commission), Kamisheni ya Ulaya kuhusu mtu sahihi kusimamia industry nzima ya usafiri na utalii:


View: https://m.youtube.com/watch?v=k0I_vvoO-7k
Apostolos Tzitzikostas - European Commissioner for Sustainable Transport and Tourism since 2024.

His task is to make European transport more competitive, sustainable and resistant to future shocks, and to ensure that it is safe, accessible and affordable for all EU citizens..
source : Apostolos Tzitzikostas

Visheni baada ya kuingia ofisini


View: https://m.youtube.com/watch?v=9dylCJnUp2o
 
Ukiangalia nchi zilizoorodheshwa ktk hivyo vikwazo utagundua shida si shirika la Tanzania wala ubora wa ndege+huduma za Tz Bali Kuna kanamna, either Tz haijafuata vitu Fulani ama inafuata mambo Fulani ambayo yanamfungamano na hizo nchi ambazo watu wa Ulaya wanazikwepa (Venezuela+Iran),

Acheni kuendeshwa na Media+propaganda, chunguzeni mambo hapo Kuna kanamna, viongozi wetu wanajua shida ni Nini, shida haipo ktk ubora wa ndege wala usalama, Bali nchi+viongozi wetu Kuna namna wamewakosea hao jamaa wa EU.

Hii Ndio michezo ya dunia na hizi ndizo games za town, msipelekwe na upepo behind the scene Kuna kanamna
 
Imagine unanunua ndege lakini masuala ya usalama yanawashinda

Imagine unanunua treni ya umeme na umeme wa uhakika huna.
Pascal Mayalla hivi hili taifa Bishop Gwajima huwa analiombea kweli
Gwaji ...https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-gwajima-ni-mtumishi-wa-mungu-wa-kweli-au-asema-uongo-adai-yeye-ni-zaidi-ya-rais.1207472/
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…