Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo kalikojengwa hivi karibuni ni aibu sana yaani unazidiwa na kiwanja cha ndege cha Songwe.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo kalikojengwa hivi karibuni ni aibu sana yaani unazidiwa na kiwanja cha ndege cha Songwe.