Ngoja nitakurudia niko kwenye usafiriUna ujinga; that's a local regional airport, Hakuna local regional airport nzuri Kama hiyo Tanzania Nzima, ambayo pia ina access na International airport ( top 2 ya Tanzania )
Hakuna International airline inashuka hapo, that's very normal, sasa wewe umepewa lift ukashuka hapo Leo unakuwa mjuaji????
Airport ya Arusha ni : Kilimanjaro International airport ambayo ipo 35 Km tu kufika Mjini, hiyo ndo ya Arusha.
Angalia distance ya LAX airport California na San Diego? Sisi hua tunatoka San Diego, tunapaki gari California, na kuruka toka LAX..
Ngoja nikuelekeze maana huna akili: Dar es salaam airport na Mbezi beach is about 40km, that means Mbezi beach Haina airport?
Kiwanja cha Songwe ni muhimu sana maana International airport ya karibu na Maeneo hayo ni Dar es salaam peke yake, na Msalato ikiisha; kwa hiyo songwe ni ya Muhimu.
Ngoja nitakurudia niko kwenye usafiri
Ile terminal mpya si ilijengwa kwenye uwanja wa Arusha au?Una ujinga; that's a local regional airport, Hakuna local regional airport nzuri Kama hiyo Tanzania Nzima, ambayo pia ina access na International airport ( top 2 ya Tanzania )
Hakuna International airline inashuka hapo, that's very normal, sasa wewe umepewa lift ukashuka hapo Leo unakuwa mjuaji????
Airport ya Arusha ni : Kilimanjaro International airport ambayo ipo 35 Km tu kufika Mjini, hiyo ndo ya Arusha.
Angalia distance ya LAX airport California na San Diego? Sisi hua tunatoka San Diego, tunapaki gari California, na kuruka toka LAX..
Ngoja nikuelekeze maana huna akili: Dar es salaam airport na Mbezi beach is about 40km, that means Mbezi beach Haina airport?
Kiwanja cha Songwe ni muhimu sana maana International airport ya karibu na Maeneo hayo ni Dar es salaam peke yake, na Msalato ikiisha; kwa hiyo songwe ni ya Muhimu.
Arusha pia itakuwa na access na Msalato International airport ambayo ni 400+ km, Bado Mbeya, Sumbawanga, Songea unaendelea kuwa mbali
Ile terminal mpya si ilijengwa kwenye uwanja wa Arusha au?
Si walizindua terminal mpya juzi juzi? Uwanja una shida gani?Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo kalikojengwa hivi karibuni ni aibu sana yaani unazidiwa na kiwanja cha ndege cha Songwe.
Si walizindua terminal mpya juzi juzi? Uwanja una shida gani?
KIA ipo Arusha? Jiografia gani mumesoma nyinyi watuUna ujinga; that's a local regional airport, Hakuna local regional airport nzuri Kama hiyo Tanzania Nzima, ambayo pia ina access na International airport ( top 2 ya Tanzania )
Hakuna International airline inashuka hapo, that's very normal, sasa wewe umepewa lift ukashuka hapo Leo unakuwa mjuaji????
Airport ya Arusha ni : Kilimanjaro International airport ambayo ipo 35 Km tu kufika Mjini, hiyo ndo ya Arusha.
Angalia distance ya LAX airport California na San Diego? Sisi hua tunatoka San Diego, tunapaki gari California, na kuruka toka LAX..
Ngoja nikuelekeze maana huna akili: Dar es salaam airport na Mbezi beach is about 40km, that means Mbezi beach Haina airport?
Kiwanja cha Songwe ni muhimu sana maana International airport ya karibu na Maeneo hayo ni Dar es salaam peke yake, na Msalato ikiisha; kwa hiyo songwe ni ya Muhimu.
Arusha pia itakuwa na access na Msalato International airport ambayo ni 400+ km, Bado Mbeya, Sumbawanga, Songea unaendelea kuwa mbali.
Kwa hizo picha hapo chini unataka serikali ifanye Nini zaidi kwenye huo uwanja wakati Kuna JRO 35 KM away, na Msalato soon 400+ km away?View attachment 3542359View attachment 3542360View attachment 3542361View attachment 3542362
KIA ipo Arusha? Jiografia gani mumesoma nyinyi watu
Kuna watu hawajafika Arusha ama Kilimanjaro wanaweza kukuamini wakati huo sio ukweli
KIA ipo katikati ya Arusha na mji wa Moshi. Iliwekwa hivyo makusudi ili ihudumie Arusha na Kilimanjaro.KIA ipo Arusha? Jiografia gani mumesoma nyinyi watu
Kuna watu hawajafika Arusha ama Kilimanjaro wanaweza kukuamini wakati huo sio ukweli
Swali la hovyo..!KIA ipo Arusha? Jiografia gani mumesoma nyinyi watu
Kama nyumba za wakimbiziUna ujinga; that's a local regional airport, Hakuna local regional airport nzuri Kama hiyo Tanzania Nzima, ambayo pia ina access na International airport ( top 2 ya Tanzania )
Hakuna International airline inashuka hapo, that's very normal, sasa wewe umepewa lift ukashuka hapo Leo unakuwa mjuaji????
Airport ya Arusha ni : Kilimanjaro International airport ambayo ipo 35 Km tu kufika Mjini, hiyo ndo ya Arusha.
Angalia distance ya LAX airport California na San Diego? Sisi hua tunatoka San Diego, tunapaki gari California, na kuruka toka LAX..
Ngoja nikuelekeze maana huna akili: Dar es salaam airport na Mbezi beach is about 40km, that means Mbezi beach Haina airport?
Kiwanja cha Songwe ni muhimu sana maana International airport ya karibu na Maeneo hayo ni Dar es salaam peke yake, na Msalato ikiisha; kwa hiyo songwe ni ya Muhimu.
Arusha pia itakuwa na access na Msalato International airport ambayo ni 400+ km, Bado Mbeya, Sumbawanga, Songea unaendelea kuwa mbali.
Kwa hizo picha hapo chini unataka serikali ifanye Nini zaidi kwenye huo uwanja wakati Kuna JRO 35 KM away, na Msalato soon 400+ km away?View attachment 3542359View attachment 3542360View attachment 3542361View attachment 3542362
Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo kalikojengwa hivi karibuni ni aibu sana yaani unazidiwa na kiwanja cha ndege cha Songwe.
KisongoUna ujinga; that's a local regional airport, Hakuna local regional airport nzuri Kama hiyo Tanzania Nzima, ambayo pia ina access na International airport ( top 2 ya Tanzania )