Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

TheGreatGenius

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
260
Reaction score
726
Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.

Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata



Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache ukijichanganya tu utatumia 50,000 kwa siku

UPDATE.
Leo nikajikaza nikasema nimalizie speed test na kuona upload speed iko vipi na ikiwango cha data used ndani ya hizo sekunde chache, matokeo haya hapa. πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ




Total data used kwenye test 1.28GB
 
🀣🀣🀣🀣 Aisee
 
Speed kama hio kwa mabando haya ya kupimiwa ni kutesana tu, hapo inabidi uwe na unlimted, bila hivyo ni sawa na kufunga engine ya v8 kwenye bajaji ama utumie breki za bajaji kwenye V8.

ila hapo kwenye kupima speed kumaliza bando nakupinga, hili ni zoezi la kutumia wastan wa MB 1, labda wakati huo ulikuwa umebakiza mb 1 tu

edit/update : ni kweli kabisa kwamba kupima speed ya 5g kunatumia takribani GB 1, hii 5g ni balaa, fayaaa
 
lazima unayo VPN sio bure utakuwa mtembeleaji mzuri wa zile sites za kataa ndoa πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kikubwa walete unlimited tu!

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…