Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.

Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata

View attachment 2712900

Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache ukijichanganya tu utatumia 50,000 kwa siku
Mkuu 5g inawenyewe mm nko pale nawaangalia tu
 
Ubora which? Tuna matumizi mabaya 😃
Sina cha maana kikubwa nachofanya

Jana zilikuwa 3
Sahii ni 1.
Voda jau, heri tigo. View attachment 2712994
Screenshot_20230809-224518.png
 
Simu zinafilisi basi tu ndio ishakuwa basic need kwa baadhi yetu.
Ndani ya sku 9 zimeshakata GB 13 za Tigo.

Na bado voda ilikuwa na GB 12.. jana niliona ziko 3.

Vocha ni kitu nishashindwa kujibahilia 🥹🥹
Najikaza lakini wapiii

View attachment 2712980
Na huu ndio mtaji wa mbunge wa jimbo la mtama
 
Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.

Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata

View attachment 2712900

Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache ukijichanganya tu utatumia 50,000 kwa siku
Shobo za watanzania zitakatikia hapa. Mtu anataka 5G kwa bundle hizi?
Ngoja tutakuwa tunawasoma tu wanavyolia
 
Speed kama hio kwa mabando haya ya kupimiwa ni kutesana tu, hapo inabidi uwe na unlimied, bila hivyo ni sawa na kufunga engine ya v8 kwenye bajaji.

kupima speed inatumia hata nusu MB, labda kifurushi chako kilikuwa ukingoni ndio sababu ya kuisha.
Ukipiga starter tu bajaji inaruka juu kama futu mia tano hivi ndiyo inarudi ardhini kwa ajili ya kuanza safari huku shock-ups zote zikiwa zimesambaratika!!!
 
Back
Top Bottom