Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Mambo ya 1080p haya 😂😂Simu zinafilisi basi tu ndio ishakuwa basic need kwa baadhi yetu.
Ndani ya sku 9 zimeshakata GB 13 za Tigo.
Na bado voda ilikuwa na GB 12.. jana niliona ziko 3.
Vocha ni kitu nishashindwa kujibahilia 🥹🥹
Najikaza lakini wapiii
View attachment 2712980
Umeita hao maticha wangu 😃😃😃 mbona umeingia cha kike bro
hapo sawa mkuu
Mkuu 5g inawenyewe mm nko pale nawaangalia tuBaada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.
Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata
View attachment 2712900
Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache ukijichanganya tu utatumia 50,000 kwa siku
Ubora which? Tuna matumizi mabaya 😃
Sina cha maana kikubwa nachofanya
Jana zilikuwa 3
Sahii ni 1.
Voda jau, heri tigo. View attachment 2712994
Hii ni Nothing Phone?Daah bora weweView attachment 2712983
🤣🤣🤣😂😂 kumbe nao wamo mbona tunaheshimiana vizuri tu, unamuheshimu mtu kumbe anawaza nanihoo😂
Jirani, Pole.Simu zinafilisi basi tu ndio ishakuwa basic need kwa baadhi yetu.
Ndani ya sku 9 zimeshakata GB 13 za Tigo.
Na bado voda ilikuwa na GB 12.. jana niliona ziko 3.
Vocha ni kitu nishashindwa kujibahilia 🥹🥹
Najikaza lakini wapiii
View attachment 2712980
🤣🤣
Hapo kwenye tv ndio kipengele.Why? 😃😃
Site which? Site from where? Tz haina uhaba wa 🍆
Naconnect na PC
Sometimes na Tv
Basiii
Imekaa kama Pixel.Hii ni Nothing Phone?
Na huu ndio mtaji wa mbunge wa jimbo la mtamaSimu zinafilisi basi tu ndio ishakuwa basic need kwa baadhi yetu.
Ndani ya sku 9 zimeshakata GB 13 za Tigo.
Na bado voda ilikuwa na GB 12.. jana niliona ziko 3.
Vocha ni kitu nishashindwa kujibahilia 🥹🥹
Najikaza lakini wapiii
View attachment 2712980
Itaachaje kushindikana na inapuliza😆Pisi ya Chuga hiyo imeshashindikana🤣🤣
Shobo za watanzania zitakatikia hapa. Mtu anataka 5G kwa bundle hizi?Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.
Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata
View attachment 2712900
Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache ukijichanganya tu utatumia 50,000 kwa siku
Tena vitu vibichi havijakauka vizuri😂Itaachaje kushindikana na inapuliza😆
😆😆😆unaniuzia eeeeTena vitu vibichi havijakauka vizuri😂
Weee akija hapa natoka ndukiiiii
Ukipiga starter tu bajaji inaruka juu kama futu mia tano hivi ndiyo inarudi ardhini kwa ajili ya kuanza safari huku shock-ups zote zikiwa zimesambaratika!!!Speed kama hio kwa mabando haya ya kupimiwa ni kutesana tu, hapo inabidi uwe na unlimied, bila hivyo ni sawa na kufunga engine ya v8 kwenye bajaji.
kupima speed inatumia hata nusu MB, labda kifurushi chako kilikuwa ukingoni ndio sababu ya kuisha.