Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

Mkuu nikuuzie iphone 14 pro max yangu...512 GB
 
Sio mbaya mb 51 kwa sekunde ni speed nzuri
 
Nia ajabu sana imeshidnikana vipi waje na unlimited bundle kwa bei nafuu..??
Maana hizi kampuni na serikali wte wanapata recurring revenue vizuri tu !!

Bongo tunachelewa sana kwenye mambo ... ni kama miaka ile ya kpiga simu kwa Dakika!!!
 
Ukiwa na unlimited ni speed nzuri sana hii kutetemesha server za Torrents na streaming sabu ina PING ndogo mpaka raha... Sema Airtel inabidi waje na huduma ya fiber waache uzamani nao...
 
Kwanini usijiunge na Post paid?

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Speed kama hio kwa mabando haya ya kupimiwa ni kutesana tu, hapo inabidi uwe na unlimied, bila hivyo ni sawa na kufunga engine ya v8 kwenye bajaji.

kupima speed inatumia hata nusu MB, labda kifurushi chako kilikuwa ukingoni ndio sababu ya kuisha.
Speed test zinatumia dynamic files tofautu na sii sratic files, kama internet speed yako ni kubwa utaona imechukua data kubwa, kama ni speed ya kobe utatumia MB chache.

Angalia data used kwenye test ta pili niliofanya. screenshot attached hapo chini 👇🏼

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…