Airtel acheni wizi

Airtel acheni wizi

Hujui usemalo. Airtel ndio mtandao wenye kasi mbovu kabisa ya Internet. Labda uongelee huduma nyingine.
Kasi ya internet kwa tz inategemea na eneo uliopo mzee, nikiwa tz kwa sehemu ninayofikia hakuna kama airtel
 
Si bora wamekuheshimu wamekwambia imeisha kuliko wangeacha internet inawaka alaf huwez kufanya chochote kama wanavyo fanyaga
 
Halotel wapo vizuri.
Matumizi ya GB zako unayaona kabisaaa.
mkuu nakuunga mkono 100% halotel GBs zao zinaisha aste aste sana kasi ya kuisha ya konokono safi kabisaa sio mtandao ka voda sina hamu nao kabisaaaaaaaa unalamba GB ka covid19 inavyolamba maisha ya watu
 
Wewe uliacha hotspot on na mtu uliyewahi mconnect so amekupiga bila wewe kujua
 
Ndio.Gb 1 Kwa buku.tena wiki nzima.
Halotel wanatakiwa wapewe ulinzi
mkuu nakuunga mkono 100% halotel GBs zao zinaisha aste aste sana kasi ya kuisha ya konokono safi kabisaa sio mtandao ka voda sina hamu nao kabisaaaaaaaa unalamba GB ka covid19 inavyolamba maisha ya watu
 
Mkuu airtel sio wale tena niliokuwa nawaamini mbs znaisha chap vifrushi ghali daaaahh n sad kwa kweli
 
Aaaaaah! we jamaa una moyo ningekua mimi pumzi zingekua zishaanza kubana, Mapafu hayataki kuhema duh! palefu sana
 
AIRTEL ni wezi haswa,

Siku hizi 500 sh kwa masaa 24 wanakupa 200 mb.
Badala ya 500 mb.

Kifurushi cha UN OFFER..
Sometimes wanatoa hata 10 mb kwa sh 500 ,,UN OFFER.

Airtel chori chori chupke chupke..


Ye bolt bagmash..

Ye chori hee..
 
Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli.

Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa.

Ni aibu!
Hii nchi kwa Sasa wizi ni ibada Airtel ni wezi wa bando
 
Back
Top Bottom