Kasi ya internet kwa tz inategemea na eneo uliopo mzee, nikiwa tz kwa sehemu ninayofikia hakuna kama airtelHujui usemalo. Airtel ndio mtandao wenye kasi mbovu kabisa ya Internet. Labda uongelee huduma nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasi ya internet kwa tz inategemea na eneo uliopo mzee, nikiwa tz kwa sehemu ninayofikia hakuna kama airtelHujui usemalo. Airtel ndio mtandao wenye kasi mbovu kabisa ya Internet. Labda uongelee huduma nyingine.
mkuu nakuunga mkono 100% halotel GBs zao zinaisha aste aste sana kasi ya kuisha ya konokono safi kabisaa sio mtandao ka voda sina hamu nao kabisaaaaaaaa unalamba GB ka covid19 inavyolamba maisha ya watuHalotel wapo vizuri.
Matumizi ya GB zako unayaona kabisaaa.
mkuu nakuunga mkono 100% halotel GBs zao zinaisha aste aste sana kasi ya kuisha ya konokono safi kabisaa sio mtandao ka voda sina hamu nao kabisaaaaaaaa unalamba GB ka covid19 inavyolamba maisha ya watu
Hii nchi kwa Sasa wizi ni ibada Airtel ni wezi wa bandoAirtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli.
Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa.
Ni aibu!