Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Asije mtu akajichanganya na huo uchafu, Airtel ni wahuni!

Kuna mdau kasema hapo juu Airtel wanakupa router unanunua na bando ila internet ukatafute mwenyewe! Wao hawahusiki tena hahahahah
 
Yote 9, ila Airtel wanatuokoa sana. Mi sio wa kuweka Netflix muda wote. Ila mkijiunga zaidi ya watu 10 mnaanza kuona speed inashuka.
 
Nimefiatilia toka comment yako ya kwanza siion hoja yenye mashiko kutoka kwako yaan unacholalamikia wewe nn? Watu wasinunue kisa 99% ya wa TZ wanajungua bando la buku au tatizo hasa ni nn we unataka?
Mkuu achana naye huyo Kwanza hajui hata Netflix ni Nini
 
Yes ni unlimited fiber internet ya Halotel, ina router ya Halotel ZTE na fiber yake ina wire zile nyembamba za fiber wametandaza, so wakikuunga unapata wifi ya kutumia, ndio maana ina speed sana
Yas wanazidi kujiimarisha, speed zao si za kitoto
1736079689790.png
 
Back
Top Bottom