King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
10MBps hapo NetFlix unapata kweli vizuri?Ninawatumia toka mwaka jana October, na sijawahi kujutia huduma zao. Cha msingi tu eneo ulilopo liwe na mtandao mzuri wa Airtel.
Stori za mitandaoni achana nazo, wewe nunua kifaa upate experience personally.
View attachment 3171456
View attachment 3171457
Asije mtu akajichanganya na huo uchafu, Airtel ni wahuni!
Netflix kutiririsha movie au series ya 1080p unahitaji tu 2-3Mbps. Hivyo 10Mbps fresh tu.10MBps hapo NetFlix unapata kweli vizuri?
10mbps sawa na 1.2mb ujue, 2-3mbps hiyo ni 2-3kb.Netflix kutiririsha movie au series ya 1080p unahitaji tu 2-3Mbps. Hivyo 10Mbps fresh tu.
eneo ulilopo liwe na mtandao mzuri wa Airtel, shake before useNilishawahi kutumia Airtel na nikawahi kujuta. Ingawa Voda nao ni walewale
Pitia upya hesabu zako. 3 Mbps ni 375 KB/s10mbps sawa na 1.2mb ujue, 2-3mbps hiyo ni 2-3kb.
Nimefiatilia toka comment yako ya kwanza siion hoja yenye mashiko kutoka kwako yaan unacholalamikia wewe nn? Watu wasinunue kisa 99% ya wa TZ wanajungua bando la buku au tatizo hasa ni nn we unataka?Fuatilia mjadala ulipoanzia
bei ikojeHalotel nao wanatembea kwa speed kwenye huduma ya fibre.
Bila shida yoyote unastream 1080P..10MBps hapo NetFlix unapata kweli vizuri?
Mkuu achana naye huyo Kwanza hajui hata Netflix ni NiniNimefiatilia toka comment yako ya kwanza siion hoja yenye mashiko kutoka kwako yaan unacholalamikia wewe nn? Watu wasinunue kisa 99% ya wa TZ wanajungua bando la buku au tatizo hasa ni nn we unataka?
😅😅Mkuu achana naye huyo Kwanza hajui hata Netflix ni Nini
Mwenyewe nina mabox yao mawili, nimepata advansge ya power bank tu!
Yas wanazidi kujiimarisha, speed zao si za kitotoYes ni unlimited fiber internet ya Halotel, ina router ya Halotel ZTE na fiber yake ina wire zile nyembamba za fiber wametandaza, so wakikuunga unapata wifi ya kutumia, ndio maana ina speed sana