Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Airtel Airtel Airtel .
Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili.
Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako.
Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini m-promote kuwa pata 5GB KWA elfu 5 kwa siku 7.
Hamuoni kuwa ninyi ni wezi na matapeli tu kama wakopeshaji wengine wa fedha na wahujumu uchumi .
Lini mtaomba radhi watanzania kwa wizi wenu huu mnaotufanyia.
Kwangu mimi nawaomba muache huo wizi wa kuwaibia watanzania kila kukicha.kama mnadaiwa na serikali kodi lipeni sio kutuibia kila siku .
Hii ni baadhi ya sms za Airtel.kabla na baada ya kununua vifurushi
Sms 1.Una Dak 40 za kupiga simu Airtel,Dak 20 kwenda mitandao yote,SMS 500 na 500MB hadi 22-12-2020 23:02:16.Kujua salio piga *149*81#.
Sms 2.Umetumia takribani 90% ya MB 250 yako. Salio ya intaneti yako ni 18 MB. Bonyeza Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money. kupakua Airtel App kununua Bando mpya.