Airtel kabla hayajawakuta yakuwakuta shughulikieni hili la wizi wa vifurishi vya internet..

Airtel kabla hayajawakuta yakuwakuta shughulikieni hili la wizi wa vifurishi vya internet..

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,742
Reaction score
3,224
Airtel Airtel Airtel .
Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili.
Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako.

Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini m-promote kuwa pata 5GB KWA elfu 5 kwa siku 7.
Hamuoni kuwa ninyi ni wezi na matapeli tu kama wakopeshaji wengine wa fedha na wahujumu uchumi .

Lini mtaomba radhi watanzania kwa wizi wenu huu mnaotufanyia.

Kwangu mimi nawaomba muache huo wizi wa kuwaibia watanzania kila kukicha.kama mnadaiwa na serikali kodi lipeni sio kutuibia kila siku .

Hii ni baadhi ya sms za Airtel.kabla na baada ya kununua vifurushi
Sms 1.Una Dak 40 za kupiga simu Airtel,Dak 20 kwenda mitandao yote,SMS 500 na 500MB hadi 22-12-2020 23:02:16.Kujua salio piga *149*81#.

Sms 2.Umetumia takribani 90% ya MB 250 yako. Salio ya intaneti yako ni 18 MB. Bonyeza Tanzania’s leading provider of prepaid, postpaid mobile, Internet services & Mobile Money. kupakua Airtel App kununua Bando mpya.
 
Bora tigo na voda Airtel ni majambazi kabisa kwenye swala la data
Kinachohudhi ni kwamba hupati values ya ile hela ulonunua kifurushi chao..kwanza network iko chini pili mfano kama umenunua 1GB kwenye matumiz utaandikiwa umemaliza 100% ya 500MB zako.
 
Nimeibiwa sana na hawa majambazi leo nilikuwa najiunga kifurushi cha UNI OFA ambacho kila siku unapata MB's za magumashi 500MB kwa siku ambazo inaonyesha sio 500MB ni ujanja ujanja tu.

Leo najaribu kujiunga UNI OFA napewa dakika tu ,harafu kitu kingine hawakupi nafasi ya kusoma kifurushi cha aina gani unajiunga.

Attachment chini inaonyesha jana nilijiunga UNI OFA nikapewa 500MB ila leo nimebadilishiwa kifurushi.

Nimeamua kuhachana na Airtel ss nipo hewani kwa hisani ya Halotel .
 
Attachments

  • Screenshot_20201223-195117.jpg
    Screenshot_20201223-195117.jpg
    44.4 KB · Views: 3
Halotel ukiingia ndani ya nyumba,mvua ikinyesha,ukiwa kwenye kusanyiko la watu network hakuna ila gharama kawaida
 
Bora tigo na voda Airtel ni majambazi kabisa kwenye swala la data

Nimeibiwa sana na hawa majambazi leo nilikuwa najiunga kifurushi cha UNI OFA ambacho kila siku unapata MB's za magumashi 500MB kwa siku ambazo inaonyesha sio 500MB ni ujanja ujanja tu.

Leo najaribu kujiunga UNI OFA napewa dakika tu ,harafu kitu kingine hawakupi nafasi ya kusoma kifurushi cha aina gani unajiunga.

Attachment chini inaonyesha jana nilijiunga UNI OFA nikapewa 500MB ila leo nimebadilishiwa kifurushi.

Nimeamua kuhachana na Airtel ss nipo hewani kwa hisani ya Halotel .
Airtel inatakiwa ifunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi..sema mzee Baba alishasema ni ya serikali kwa hiyo amebariki wizi.
 
Hamia Airtel kauli ilisikika,
Watu bila kuchelea tukaitika,
Tukaunga bando ilikutiririka,
Gafla bin vuu 90% imekatika,
Na ndipo kichwa kuvurugika,

Baada ya saa kaza kukatika,
Masikio,moyo vikatikisika,
Jaza nikujaze na waliibuka,
Nikabeba vyangu kupepruka,
Sasa naperuzi bila kusita.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeibiwa sana na hawa majambazi leo nilikuwa najiunga kifurushi cha UNI OFA ambacho kila siku unapata MB's za magumashi 500MB kwa siku ambazo inaonyesha sio 500MB ni ujanja ujanja tu.

Leo najaribu kujiunga UNI OFA napewa dakika tu ,harafu kitu kingine hawakupi nafasi ya kusoma kifurushi cha aina gani unajiunga.

Attachment chini inaonyesha jana nilijiunga UNI OFA nikapewa 500MB ila leo nimebadilishiwa kifurushi.

Nimeamua kuhachana na Airtel ss nipo hewani kwa hisani ya Halotel .
Leo jioni wamerudi kama zamani, mb 500 kweli
 
Back
Top Bottom