Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

My number can't even buy a HBB bundle now
.they spammed me first nmelipa Hafu device ikawa haionekani

Airtel nlichoamua ni kukaa kimya nafikiria way forward hii nchi ukiwa na hela usipokua na hela lazima utateseka

Hii nchi ina laana
They are fool
 
Airtel kauli mbiu ni tunakuzia router na bando, mtandao kautafute mwenyewe😏
 
Naona labda ni janga kote kote hata yas speed yao kwa fiber huwa mimi inachezea download speed kati ya 20-90mbs, ila hiki kipindi cha sikukuu inachechemea na wakati mwingine inakata kata kila baada ya muda fulani.
 
View attachment 3187557
Walau kwako upload speed iko juu ila huku kwingne ni majanga tu
 
hamia TTCL internet uhakika, ila mpaka wakufungie utachoka mwenyewe
 
Anachosema ni kweli juzi nimetimiza gb 700 imeshuka mpka kufikia 0.2 mbps per second wakati ofisini ttcl tunafika hadi tb haipungui spidi
 
Wanaunga router tu bila ya landline aisee? Kwa 70k unapata router ama kale ka mobile device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…