Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

My number can't even buy a HBB bundle now
.they spammed me first nmelipa Hafu device ikawa haionekani

Airtel nlichoamua ni kukaa kimya nafikiria way forward hii nchi ukiwa na hela usipokua na hela lazima utateseka

Hii nchi ina laana
They are fool
 
Airtel kauli mbiu ni tunakuzia router na bando, mtandao kautafute mwenyewe😏
 
Habari za wakati huu wanajukwaa.

Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per second lakn leo ghafla asubuhi imeshuka had 1mb per second na haitaki kupanda.

Yaani natumia speed ya kobe na mtumiaji ni mimi pekee yangu nimeunganisha device mbili pc na simu tu, kwanini airtel hawataki kutuambia ukweli kwamba hizi router siyo unlimited badala yake ikifkia ukomo wa mb walizokupangia huwa wanashusha speed kusema ukweli huu ni utapeli😔

View attachment 3184329
Naona labda ni janga kote kote hata yas speed yao kwa fiber huwa mimi inachezea download speed kati ya 20-90mbs, ila hiki kipindi cha sikukuu inachechemea na wakati mwingine inakata kata kila baada ya muda fulani.
1735455852893.png
 
View attachment 3187557
Walau kwako upload speed iko juu ila huku kwingne ni majanga tu
 
hamia TTCL internet uhakika, ila mpaka wakufungie utachoka mwenyewe
 
Mkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.

View attachment 3184334

Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.

View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Anachosema ni kweli juzi nimetimiza gb 700 imeshuka mpka kufikia 0.2 mbps per second wakati ofisini ttcl tunafika hadi tb haipungui spidi
 
Mkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.

View attachment 3184334

Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.

View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Wanaunga router tu bila ya landline aisee? Kwa 70k unapata router ama kale ka mobile device
 
Back
Top Bottom