Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

Hawa jamaa ni kero sana, hata walipokuwa na option ya kumpata mhudumu ilichukua si chini ya dk 30.

Vv
 
Niwecheck last week, sehemu ya kuongea na muhudumu haipo
Sijui kama sasa wameitoa mazima, ila kipindi flani niliongea na mhudumu ila hadi kupata hiyo option ilikuwa kazi sana....imefichwa balaa....hata sikumbuki ni wapi..
 
Imenikuta hii leo nimenunua Luku hawajaleta message nikawapigia ni maelezo tu
 
Yaaani UKIPATA SHIDA YOYOTE NA MTANDAO WA Airtel..jisort mwenyewe... Tafuta tawi la karibu upeleke SHIDA yako.

Ukisema eti uwapigie simu...HUTOWAPATA..kwanza hakuna hicho kitu kwenye huduma yao ya wateja ya kupiga 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…