Na kuna silent call vile vile... simu ipo hewani na mlikuwa mnaendelea kuongea, mara mmoja hamsikii mwenzie na huku dakika zinayoyomaKwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ,ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.
Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana, kuna kutoelewana wakati wa mazungumzo.
Je ni kwa sababu ni bei rahisi au mtandao tu haufai?
Mi mwenyewe nawavutia kasi tuAirtel Nawaita mara tatu Airtel, Airtel, Airtel jirekebisheni huduma zenu za data ni mbovu. Hatu wapigi kelele ila pia sio kuwa hatujui kuna mitandao mingine kama halotel, ttcl na voda ila tuna taka tuwape mda kwanza kama mtajirekebisha mkishindwa ndio tutachukuwa maamuzi magumu.
Hembu tuwape mda kidogo kama ni watu wa tuskiliza matatizo ya wateja wao na kutatua kwa wakati.Mi mwenyewe nawavutia kasi tu
Hamia Zantel mkuu. Hakuna ubabaishajiAwa mbwq nao wamepandsha bei GB 2.5 kwa wiki ilikua 3k ila saivi 3k unapata GB1 yaaan mnakera nyie mbwq ni suala la mda tu mtapata tabu sana
Je voda ni 2.5 GB unatoa elfu kumi kwa mweziAwa mbwq nao wamepandsha bei GB 2.5 kwa wiki ilikua 3k ila saivi 3k unapata GB1 yaaan mnakera nyie mbwq ni suala la mda tu mtapata tabu sana
Voda ndio mtandao #1 ila garama zao sio masiharaNaongea na mtu kwenye cm na mtu mwingine akinipigia hainipi taarifa kuwa kuna simu ingine inaingia. Inakera sana.
Kumpigia mtu adi urudie zaid ya mara tatu na zaidi ndio ianze kuita.. nimehamia VODACOM