2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.
Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana, kuna kutoelewana wakati wa mazungumzo.
Je, ni kwa sababu ni bei rahisi au mtandao tu haufai?