Airtel tunawapenda sana ila kero zimewapenda zaidi

Airtel tunawapenda sana ila kero zimewapenda zaidi

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.

Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana, kuna kutoelewana wakati wa mazungumzo.

Je, ni kwa sababu ni bei rahisi au mtandao tu haufai?
 
Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ,ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.

Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana, kuna kutoelewana wakati wa mazungumzo.

Je ni kwa sababu ni bei rahisi au mtandao tu haufai?
Na kuna silent call vile vile... simu ipo hewani na mlikuwa mnaendelea kuongea, mara mmoja hamsikii mwenzie na huku dakika zinayoyoma
 
Na kuna silent call vile vile... simu ipo hawana na mlikuwamnaendelea kuongea, mara mmoja hamsikii mwenzie na huku dakika zinayoyoma
Hata TCRA wameisemea...yan ni kero tup
 
Airtel Nawaita mara tatu Airtel, Airtel, Airtel jirekebisheni huduma zenu za data ni mbovu. Hatu wapigi kelele ila pia sio kuwa hatujui kuna mitandao mingine kama halotel, ttcl na voda ila tuna taka tuwape mda kwanza kama mtajirekebisha mkishindwa ndio tutachukuwa maamuzi magumu.
 
Mi mwenyewe nawavutia kasi tu
 
Kumbe ni tatizo la sehemu nyingi. Nilijua tu labda ni mimi tu kwa sababu nipo mashambani....
 
Ni washenz sana Airtel hasa customer care wao n washenz zaid
 
Naongea na mtu kwenye cm na mtu mwingine akinipigia hainipi taarifa kuwa kuna simu ingine inaingia. Inakera sana.

Kumpigia mtu adi urudie zaid ya mara tatu na zaidi ndio ianze kuita.. nimehamia VODACOM
 
Voda ndio mtandao #1 ila garama zao sio masihara
 
Back
Top Bottom