BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
sasa wakiwapa wahusika kila mhusika akipata 9,000 watakuwa wametoa nini.Airtel imetoa GB 2 NA DK 100, KWA WAATHIRIKA HANANG Kwa siku 3 mfululizo.
Mwana yake kwa mtu mmoja wametoa tshs 9000,
Idadi ya watu Ni 300,000 plus
300,000x 9000= 270,000,000
Kwanini hii pesa wasingeipeleka kwa wahusika!
Hii ,haiingii akilini kabisa
Airtel imetoa GB 2 na Dk. 100, kwa waathirika Hanang kwa siku 3 mfululizo.
Maana yake kwa mtu mmoja wametoa Tsh. 9000, idadi ya watu Ni 300,000+, hii ina maana;
300,000x 9000= 270,000,000/-
Kwanini hii pesa wasingeipeleka kwa wahusika?
Hii haiingii akilini kabisa!