PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
Ukweli kwamba hii Nchi inawatu wengi sana wasio jielewa! Mtu anakwambia FAO ndo walete chakula! Inahuzunisha sana. Kwan Airtel atapata dhambi Gani kuleta hata magodoro pale watu wanalala ovyo? Au hata mahema tu!Hawajielewi
Kilichofanyika hapa ni sawa na kumpa msaada wa chanuo mwenye kipara !!!Acha kubishana na mazombie
Umetumia sana hisia kuliko akili...Airtel imeamua kusaidia kutokana na huduma inayotoa...Chakula watoe wengine kina Azam kama vipi.Nimesoma mahali kwamba Airtel inasambaza bure Internet kule eneo la maafa, hiki ni kichekesho kikubwa sana.
kwanza nani asie jua speed ya Internet ya Airtel? Pili je hizo ni moja ya Needs za watu walio kumbwa na maafa pale? Watu wanahitaji Mahema, Maji, madawa, nguo. Airtel wao wanaona Internet ndii basic needs pale?
Hii ni Marketing strategies ya kijinga sana, kama hawawezi toa Basic needs pale kama Chakula, madawa, mahema, na nguo waache ujinga.
Hawa airtel wana akili sawa na watawala, yaani wote wanafanana akili na jinsi ya kuwaza si bure hata mtandani wao umekaaa kima gumashi gumashi sana.
MKUU hii nadhani inategemea na mkoa uliopo kuna mikoa wanafanya vizuri sana.Speed ni kubwa mno tena iliyona uhakika kuliko mitandao mingine
Nani ana huo mda wa kutumia hizo dakika na mb kwa wale walio athirika kijana??? nyumba imebomoka airtel wakikupa mb za bure na dakika inakusaidia nini??? airtel ni shirika kubwa waache janja janjaa watoe msaada unaoelewekaaa sio hii promotion ya ovyoo wanayotoa wanataka watu wakatafute line za airtel kipindi hiki cha matatizo au wameambiwa hanang kila mtu ana line ya airtel???Nyinyi ngumbaru ni lini mliona Airtel inalima magimbi kwamba ibebe magunia iwapelekee waathirika? Mnataka Airtel ipeleke nyama ya sungura kwani hiyo ni kampuni ya ufugaji?
Airtel imetoa ilichonacho, na nyinyi wenye lawama peleka lawama kule tuone zitasaidia kitu gani. Na bado Airtel imetoa fedha ili zikasaidie kununua mahitaji, mna akili za bata kudhani Airtel itatoka kukusanya magunia ya maharage kupelekea wananchi.
Kampeni ya #TupoPamojaNanyi kupitia TTCL, Airtel, Vodacom, Halotel na Tigo imechangia fedha za kutoa hayo magunia mnayotaka.
Kwanza sio lazima kulazimisha msaada wa kampuni binafsi.
Pili, jifunzeni kupokea misaada kama haina madhara na mzingatie anayetoa msaada hali yake, huwezi taka mfugaji akikuchangia mfugo wake usilazimishe akuletee furniture kutoka kwa seremala na seremala vilevile usilazimishe akuletee mfugo. Huo ni upumbavu.
Tatu, muache ushamba mawasiliano ni suala muhimu kwenye ulimwengu huu. Kuna watu wanataka kujua hali ya familia zao, kuna watu wamepotea taarifa zinazidi kutolewa, kuna misaada inaletwa watu wapewe taarifa. Hayo yote yatasaidiwa na mawasiliano iwe simu ama redio stations za kule. Nyinyi akili zimekalia kwenye nyanya na ugali.
Another one from Airtel. Hapo kimsingi wameonyesha kiwango chao cha ujingaNimesoma mahali kwamba Airtel inasambaza bure Internet kule eneo la maafa, hiki ni kichekesho kikubwa sana.
kwanza nani asie jua speed ya Internet ya Airtel? Pili je hizo ni moja ya Needs za watu walio kumbwa na maafa pale? Watu wanahitaji Mahema, Maji, madawa, nguo. Airtel wao wanaona Internet ndii basic needs pale?
Hii ni Marketing strategies ya kijinga sana, kama hawawezi toa Basic needs pale kama Chakula, madawa, mahema, na nguo waache ujinga.
Hawa airtel wana akili sawa na watawala, yaani wote wanafanana akili na jinsi ya kuwaza si bure hata mtandani wao umekaaa kima gumashi gumashi sana.
Atleast ingekuwa dakika za kupiga na sms sio internet pekee maana hapo amewatenga wanaomiliki viswaswaduPovu la nini? Yoyote anaweza kutoa anachoweza. Mawasiliano nayo ni muhimu sana... itasaidia hats wahanga kuwasiliana kirahisi na ndugu na jamaa wengine...
Kwa speed yao ni wazi wanahujumiwa na mitandao kama tigo na vodaSpeed ya Internet ya Airtel na Kobe ni sawa na Mjomba na Shangazi.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hivi elfu 9 unaichukulia poa hiyo inanunua kilo tatu za mchele ambayo kwa mtu mmoja anaweza kula kwa minimum siku tatusasa wakiwapa wahusika kila mhusika akipata 9,000 watakuwa wametoa nini.
Airtel ndio wakajenge miundombinu ya umeme? Ndio wakasimike nguzo zilizoanguka?Mkuu hapa Kila mtu anatoa maoni yake tu Wala sio ubabe Wala nini ulichokizungumza ni sawa hata Mimi sipingi! Umewasiliana na watu wa huko lkn? Maana hata kuchaji simu zao wanaenda sehemu nyingine Tena mara Moja Moja! Kipi Cha mhimu Hadi hapo? Mb unazo za kutosha dk za kutosha ila simu Haina chaji Ina umuhimu gani
Je wakileta magodoro na mahena mahitaji yote yatakamilika 100%? Sivyo.Ukweli kwamba hii Nchi inawatu wengi sana wasio jielewa! Mtu anakwambia FAO ndo walete chakula! Inahuzunisha sana. Kwan Airtel atapata dhambi Gani kuleta hata magodoro pale watu wanalala ovyo? Au hata mahema tu!
Hivi mwenye kipara unaweza kumpa msaada wa chanuoUmetumia sana hisia kuliko akili...Airtel imeamua kusaidia kutokana na huduma inayotoa...Chakula watoe wengine kina Azam kama vipi.
Ina maana hela waliyotoa hujaona? Ulitaka watoe nini hasa. Wametoa hela kwanza kabla ya kutoa hizo huduma za mawasiliano.Nani ana huo mda wa kutumia hizo dakika na mb kwa wale walio athirika kijana??? nyumba imebomoka airtel wakikupa mb za bure na dakika inakusaidia nini??? airtel ni shirika kubwa waache janja janjaa watoe msaada unaoelewekaaa sio hii promotion ya ovyoo wanayotoa wanataka watu wakatafute line za airtel kipindi hiki cha matatizo au wameambiwa hanang kila mtu ana line ya airtel???
Wameshatoa msaada kabla ya huu. Ila kwa sababu hii ni third world country kila kitu ni lawama.Kwa hiyoo wameona huo ndo msaada katika kipindi kigumu kama hichii labda waongeze na msaada wa vitu vingine ila sio uu uhunii
Huu ujinga mkubwa mnooAnother one from Airtel. Hapo kimsingi wameonyesha kiwango chao cha ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu humuhumu JF ukali wa maisha umezidi hata kupata MB 245 za Sh 500 hawawezi wanatamani wangekuwa hanang wapate vya bure
Kama wametoka Hela Sina neno naoIna maana hela waliyotoa hujaona? Ulitaka watoe nini hasa. Wametoa hela kwanza kabla ya kutoa hizo huduma za mawasiliano.
Ukiwa na msiba mfugaji akachangia pesa then akatoa mbuzi wa kuchinja utakasirika kwanini ametoa mnyama. Ulitaka mfugaji alete pombe.
Kwenye CSR wapi uliona kampuni inatoa msaada kimbumbumbu bila kutoa na huduma zake.