Airtel wanayajua mahitaji muhimu kwa binadamu kwa watu wa waliokumbwa na Maafa Hanang?

S
Ukweli kwamba hii Nchi inawatu wengi sana wasio jielewa! Mtu anakwambia FAO ndo walete chakula! Inahuzunisha sana. Kwan Airtel atapata dhambi Gani kuleta hata magodoro pale watu wanalala ovyo? Au hata mahema tu!
Sio majukumu yao wamefanya hisani tuu, hayo ni majukumu ya serikali.
Hicho kidogo walichotoa tushukuru wasingetoa chochote ungelalamika pia?
 
Mzee watz wengi vichwa maji, airtel wametoa mtandao wa bure watu wanalalamika kwa hao airtel ni hisani wamefanya wala sio jukumu lao.
 
Nimekwambia wajenge? Au watengenezee miundombinu?

Walichokifanya ni sawa na mtu mwenye kipara kupewa msaada wa chanuo ! Ni matusi!

Umefiwa,nyumba imebomoka chakula magodoro ndo hivo Tena!
Mtandao shida umeme hakuna hizo dk Bure na internet Zina msaada Gabi kama sio utahira huu? Nani akae mtandaon Watoto hawana pakulala?

Ifike mahala tuambieni ukweli kuwa japo wewe ni sio mkulima basi tumia pesa Yako kufanya exchange na mkulima kwan Kuna dhambi Gani hapo?
 
Sasa bro kwa akili zako hyo habar bila support ya mitandao ungeijua?
 
Sasa kwanini ulalamikie Airtel suala la umeme kukatika? Au hujui mamlaka ya umeme yako chini ya nani.
 
Naipa pole shingo yako kwa kubeba ujinga.
 
Kwa akili hizi za watanzania CCM inaweza tawala mpaka mwisho wa dunia. Yani unaona Airtel hawajafanya la maana hapo??? Exposure ni kitu muhimu sana. Hawa hawa unawakuta wanapongeza Elon musk kupeleka starlink bure Ukraine na Gaza
 
S

Sio majukumu yao wamefanya hisani tuu, hayo ni majukumu ya serikali.
Hicho kidogo walichotoa tushukuru wasingetoa chochote ungelalamika pia?
Nisingelalamika ...kwani Azam,Voda,Tigo nk umeona nimeleta Uzi wao hapa?hapa tunazungumzia hitaji maalumu Kwa Wakati huu wa dharula. Hivi umefiwa huna pakuilaza familia mifugo Yako yte imekufa chakula hakuna huo muda wa kuwasha data utapata lini na sangapi? Watu Huwa tunafiwa na wapendwa wetu lkn unaweza kataa siku2 hujaingia mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…