Airtel wanayajua mahitaji muhimu kwa binadamu kwa watu wa waliokumbwa na Maafa Hanang?

hahahah watu weusi bado tuko kwenye evolution ya kuwa binadamu kamili.
Anataka airtel wapeleke umeme.
Wazungu wanapotubagua hua wapo sahihi kabisa. Huwezi kubali kizazi chako kipandikizwe fikra za stone age kwenye zama za IoT
 
hahahah watu weusi bado tuko kwenye evolution ya kuwa binadamu kamili.
Anataka airtel wapeleke umeme.
Mkuu lete au copy andiko nililosema Airtel walete umeme.zaidi utajiona namna Gani ulivo lofa na ujielewi!

Hizo simu za dk Bure watachajia wapi?
 
Nimesikitika hii post sina cha kusema zaidi ya " tujifunze kushukuru"
Mkuu Kuna msaada mwingine hata ukishukuru unashukru kinafiki tu Bora liende.ongea na watu wa sehemu hizo basi wakuambie

Umeme hakuna hizo simu wanachajia wapi?

Walichofanya ni sawa na kiwete kupewa msaada wa viatu!
 
Subiri kwanza, mkuu wewe unaenua needs zote na kuzianalyse kitaamlum umetoa nini? Kwann hujaenda hata kutoa tuu nguvu kazi ya kutoa mawe na magogo barabaran?
 
Ngumbaru ni wengi sana nchi hii. Hawana jema
Kama una no za watu wa kateshi waulize simu wanachajia wapi kama huna sema nikutumie no uulize. Uone adhabu wanayopata ya kwenda tu kuchaji simu. Airtel hatukatai msaada wao ila huo msaada wa sio wa mhimu San Kwa Sasa kataa ukubali!
 
Kaka wasipokuelewa na apo...Waache na ujinga wao
 
Kaka wasipokuelewa na apo...Waache na ujinga wao
Mkuu kama simu inachaji Kwa umeme na umeme haupo hiyo simu itatumukaje? Kwanza skusema waende kujenga miundo mbinu Wala wapeleke umeme nilichosema hapo ni kwamba inahitajika misaada ya umhimu zaidi kuliko dk na mb! Maana simu hawana pa kuchajia! Ndo nikatoa mifano hiyo kuwa umeme hakuna hata hizo Sola Kuna mawingu daily jua ni kama halipo tu nazo nyumba Bado zimebomolewa na kuharibiwa nk

Na ujue mtandao uliopo vzr huko ni halotel inafatia Airtel hivo watumiaji wa haloteli ndo wengi Kwa Kiasi chake. Nimekaa maeneo hayo Kwa muda kiasi naelewa jogorafia yake na changamoto kubwa ni mawasiliano internet ipo chini lbda Kwa miaka hii !
 
Siyo kila jambo ni la kubeza mkuu, Airtel wametoa bidhaa wanayoizalisha wao, kampuni nyingine nazo watatoa wanavyovizalisha, kuna wanaozalisha unga,mashuka,nguo, magodoro, madawa n.k
 
Mnaanza kuchagua na misaada!! Sasa kama uwezo wangu ni kukuletea debe la unga kwenye harusi yako ndo unilazimishe nikuletee suti kisa ndo hitaji lako la mhimj? Kwa hiyo mawasiliano si mhimu au ulitaka airtel itoe mascarveter wakati haina??
 
Kwa akili hizi za watanzania CCM inaweza tawala mpaka mwisho wa dunia. Yani unaona Airtel hawajafanya la maana hapo??? Exposure ni kitu muhimu sana. Hawa hawa unawakuta wanapongeza Elon musk kupeleka starlink bure Ukraine na Gaza
Hivi unajua mahitaji ya dhararu kijana au unapwayukaa kama fisi mwitu????
 
Yenyewe imetoa mawasiliano bure kwakuwa ni kampuni ya mawasiliano.
Tbl ingepeleka bia
Bakhresa akapeleka misosi
Mo apeleke energy
Crdb pesa bure
Coca soda
Ccm katibu mwenezi
Shabiby mabasi
Wangesolve faster
 
Airtel hatakiwi kumaliza hayo matatizo, wakati huu ni taifa kuungana kila mmoja kwenye sekta yake,

Kama hio issue ya umeme tulitegemea TANESCO wapeleke hata special generetor huko,
Msiwalaumu Airtel kufanya wanachoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…