Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mimi nimemkaza Dada mmoja hapa jf, nilimpata kwa PM tu, bayaaaaaaa! Kapigwa Pasi ya hatari, viguu kama mfukuza ndezi, ni mtu wa kaskazini meno yameoza! Ila kwavile ana mpunga na nilikuwa ninaugwadu nikajitoa mhanga. Bira lawama kuliko fedhehaSiyo visu tu mkuu sema Kuna sime kabisa
Ah we niringendo wewe nini!!!??
Kwangu ushuhuda utakaotoa ni wa kutishaWacha nianze na wewe hadi nije nitoe ushuhuda hapa.
Hapana wacha kunitisha wakati mtoto mwenyewe unaonekana mrembo, Unajua wanasema Avatar ama picha mtu anayoitumia huwa inamwakilisha yeye alivyo kwa kiwango kikubwa kwa hiyo nimeanza na kupenda Avatar yako then itakuja wewe pia.Kwangu ushuhuda utakaotoa ni wa kutisha
Teh we jidanganye tuHapana wacha kunitisha wakati mtoto mwenyewe unaonekana mrembo, Unajua wanasema Avatar ama picha mtu anayoitumia huwa inamwakilisha yeye alivyo kwa kiwango kikubwa kwa hiyo nimeanza na kupenda Avatar yako then itakuja wewe pia.
unaweza ukawa hujijui ulivyo mkaree, hebu njoo pm nikuoneAh we niringe
Kwa hiyo sasa twende PM basi halafu mi mrejesho ntaleta hapa,ama unataka nimwage madini hapahapa hadi kila mtu aone utakavyo nikubalia?Teh we jidanganye tu
Unauza madini?Kwa hiyo sasa twende PM basi halafu mi mrejesho ntaleta hapa,ama unataka nimwage madini hapahapa hadi kila mtu aone utakavyo nikubalia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimemkaza Dada mmoja hapa jf, nilimpata kwa PM tu, bayaaaaaaa! Kapigwa Pasi ya hatari, viguu kama mfukuza ndezi, ni mtu wa kaskazini meno yameoza! Ila kwavile ana mpunga na nilikuwa ninaugwadu nikajitoa mhanga. Bira lawama kuliko fedheha
Kwako nitayatoa bure kabisa hadi nihakikishe nakamata hisia zako mrembo.Unauza madini?
Si utafilisika sasaKwako nitayatoa bure kabisa hadi nihakikishe nakamata hisia zako mrembo.
Thamani yako ni kubwa sana kwangu kushinda hata hayo madini nitakayokupa bure mrembo.Si utafilisika sasa
MweehThamani yako ni kubwa sana kwangu kushinda hata hayo madini nitakayokupa bure mrembo.
Mimi bisu butuEti wewe pia ni kisu kikali dear?
Mmmmh! siyo kwa hiyo picha yako kwenye hiyo avatar yako dear!Mimi bisu butu