Aisee hata JF kuna mabinti visu

Aisee hata JF kuna mabinti visu

Mkiziona picha na username yake mniambie na mimi

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kwangu ushuhuda utakaotoa ni wa kutisha
Hapana wacha kunitisha wakati mtoto mwenyewe unaonekana mrembo, Unajua wanasema Avatar ama picha mtu anayoitumia huwa inamwakilisha yeye alivyo kwa kiwango kikubwa kwa hiyo nimeanza na kupenda Avatar yako then itakuja wewe pia.
 
Teh we jidanganye tu
 
Mimi nimemkaza Dada mmoja hapa jf, nilimpata kwa PM tu, bayaaaaaaa! Kapigwa Pasi ya hatari, viguu kama mfukuza ndezi, ni mtu wa kaskazini meno yameoza! Ila kwavile ana mpunga na nilikuwa ninaugwadu nikajitoa mhanga. Bira lawama kuliko fedheha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom