Madada i hope mmesikia fanyeni basi alosema mkuu hapa,inatokea mkuu.. unaweza kuwa kwenye mada fulani then ukatokea ukaribu fulani mpaka wa mawasiliano. japo usiishi kwa kutegemea mambo kama hayo.. hutokea yenyewe ila not always the case. nadhani umenielewa
Duh, Tangu mchana...huo utaratibu haujakamilika tu,Nafanya utaratibu niweke hapa ila ni picha nusu
Si ningeringa sana jamanikama ni wewe niambie na mie nije PM aiseeee
MhSi ningeringa sana jamani
Au ni wewe?Ili mfurike pm eeh
teh teh tehNjoo kama hujatimua mbio usitamani hata kugeuka nyuma
Mimi nimemkaza Dada mmoja hapa jf, nilimpata kwa PM tu, bayaaaaaaa! Kapigwa Pasi ya hatari, viguu kama mfukuza ndezi, ni mtu wa kaskazini meno yameoza! Ila kwavile ana mpunga na nilikuwa ninaugwadu nikajitoa mhanga. Bira lawama kuliko fedheha
Shauri yako sijui nani atakusaidiateh teh teh
mimi tena, ngoja nije aisee, kwa ninavyojijua utatimua wewe.
Hata sio mieAu ni wewe?
Utakula kwa macho..πππBila kutupia kapicha hii thread yako haina maana mkuu!
Wewe utakubali ya kwako nimrushie mtu PM?Njoo unirushie kwa pm yangu mwaya
Hahaaa Wakaka wengi humu ni mapanga sio Visu.Aise hata wakaka visu wapo Jf
Yaani[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hahaaa Wakaka wengi humu ni mapanga sio Visu.