technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Type ya watu kama Mrema eti bado wapo kwenye siasa toka miaka ya 70,
Mtu kama Mbatia Mwanaume unachaguliwa viti maalumu,
Mtu kama Seif bado anataka kugombea urais kwa mara ya 5 zanzibar! now kakinyakua ACT.
Mtu kama sumaye anataka cheo Magufuli akishinda urais 2020! Mbowe ameng'ang'ania madaraka mpaka chama kimfie baada awaachie vijana chama.
Hv kwani kwanini waafrika tunapenda mpaka jahazi liaanguke ndio tung'oke?
Vijana kama Wakina Ismail Jusa, John Mnyika, Zitto Kabwe na Tundu Lissu Kwani Tusiwaamini Tukawapa nafasi ya kuwa na meno kwenye taasisi zetu( Vyama) pamoja na kugombea urais.?
Njaa Njaa Njaa Matumbo Matumbo Matumbo Upinzani Unahitaji Reform ya hali ya juu sana ili kuwin mass support sio kuwatumia fikra mfu.