Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Nafikiri anataka mabadiliko ya kisiasa. Ila amechanganya mambo maana nahisi muda wote huwa matingasi.Duh...!, yaani wewe Mkuu huoni Tanzania tunavyopaa kimaendeleo?.
Ndege,
Barabara za juu kwa juu
Miundombinu wezeshi
Madaraja
SGR
Stigler
Tanzania ya viwanda
Nchi ya uchumi wa kati
Donor kantri
....
....
....
What more do you need?!
P