Aisee Hii Nchi kupata maendeleo itakuwa ngumu sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Type ya watu kama Mrema eti bado wapo kwenye siasa toka miaka ya 70,

Mtu kama Mbatia Mwanaume unachaguliwa viti maalumu,

Mtu kama Seif bado anataka kugombea urais kwa mara ya 5 zanzibar! now kakinyakua ACT.

Mtu kama sumaye anataka cheo Magufuli akishinda urais 2020! Mbowe ameng'ang'ania madaraka mpaka chama kimfie baada awaachie vijana chama.

Hv kwani kwanini waafrika tunapenda mpaka jahazi liaanguke ndio tung'oke?

Vijana kama Wakina Ismail Jusa, John Mnyika, Zitto Kabwe na Tundu Lissu Kwani Tusiwaamini Tukawapa nafasi ya kuwa na meno kwenye taasisi zetu( Vyama) pamoja na kugombea urais.?

Njaa Njaa Njaa Matumbo Matumbo Matumbo Upinzani Unahitaji Reform ya hali ya juu sana ili kuwin mass support sio kuwatumia fikra mfu.
 
Magufuli hatagombea tena kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Mbowe anatamani kurithiwa na Bawacha!
 
bado sio hoja hoja haswa ni commitment ya wanaojiita wanasiasa je ni kweli wanania thabiti ya kuitumikia nchi yetu au kutumikia matumbo yao tu.?

mm naona tuna baati mbaya kwenye hili ukiachilia mbali muasisi wa taifa hili hawa wengine wamekuwa wakiongoza kwa utashi binafsi au kwa kupata maelekezo ndivyo sivyo.

huyu wa sasa ndo simuelewi kabisa alianza vizuri sana mwisho huku ni aibuu tupu.
 
'Maarim' ninini mjinga wewe ? Kwa nini usiende shule kwanza ?
 
Badala ya kwenda kuwabeba watu waliokwama India mtu anakwenda kuchukua box tatu za mchaichai
 
watu wanaoonja miti shamba live live, na bado anakwambia dawa hii kabla ya kuanza kupewa watu lazima ikafanyiwe utafiti
 
Duh...!, yaani wewe Mkuu huoni Tanzania tunavyopaa kimaendeleo?.
Ndege,
Barabara za juu kwa juu
Miundombinu wezeshi
Madaraja
SGR
Stigler
Tanzania ya viwanda
Nchi ya uchumi wa kati
Donor kantri
....
....
....
What more do you need?!

P
 
Umeshajifukiza? ( joking)

Umesema vema mazee, hujawa biased yaani fact tupu, ngoja waje waliobinafsisha bongo zao maana umewataja miungu yao.


We need reform ya hali ya juu ikiwezekana itoke nje ya tuliozowea kuwasikia.

Hoja imeungwa mkono.

Pitia kondoo mnono hapa buguruni ujilie ndafu na hii karantini.

Aikambe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job true true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataibuka huko wakati wa kampeni akijinadi kuwa yeye ni rais wa wanyonge. Alituma hata ndege kwenda Madagascar kuwachukulia wanyonge dawa na aliamua ipimwe kwanza lakini mabox yahifadhiwe Chato na asiulizwe yalitumikaje.
Duh!!!!
Mgombea wako ni nani?
Maana na wewe una umsukule fulani hivi haujawa huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…