Aisee Hii Nchi kupata maendeleo itakuwa ngumu sana

Duh...!, yaani wewe Mkuu huoni Tanzania tunavyopaa kimaendeleo?.
Ndege,
Barabara za juu kwa juu
Miundombinu wezeshi
Madaraja
SGR
Stigler
Tanzania ya viwanda
Nchi ya uchumi wa kati
Donor kantri
....
....
....
What more do you need?!

P
Nafikiri anataka mabadiliko ya kisiasa. Ila amechanganya mambo maana nahisi muda wote huwa matingasi.
 
Duh...!, yaani wewe Mkuu huoni Tanzania tunavyopaa kimaendeleo?.
Ndege,
Barabara za juu kwa juu
Miundombinu wezeshi
Madaraja
SGR
Stigler
Tanzania ya viwanda
Nchi ya uchumi wa kati
Donor kantri
....
....
....
What more do you need?!

P
Wewe ukigombea Urais,ukaupata,hivyo vipaumbele utashindwa kutekeleza?
 
Nasema safari ya kukiondoa chama tawala naona km bado maelfu ya miles Tanzania hatuna upinzani na upinzani ulikufa rasmi 2015 japo ulijaribu kukitikisa chama tawala. Hv huwa nawaza CHADEMA km chama chenye nguvu ilkuaje kumteua Lowasa kuwa mgombea kwa tiketi yao. Yaan huwa nawaza mara nyingi tu iweje mgombea aliyekatwa ccm aje agombee CHADEMA? Tatzo vyama vya upinzani km CHADEMA kilikuwa na papara za kuutaka uraisi coz mwaka 2015 ilkua bado wakati wa kuutaka uraisi, jitihada ilibidi ziwe kwenye ubunge na udiwani na kubakia na timu yao ya wakina slaa ambayo ilishajenga uaminifu kwa kiasi fulani kwa wananchi. Vyama vya upinzani pia viwe mfano wa demokrasia haiwezekani wenyeviti ni walewale miaka nenda rudi. Ila time nyingine wanachama nao wanashida kubwa sn coz haiwezekani mwenyekiti tokea 2000/2005 awe huyohuyo kila mwaka
 
3% degree na +
6% stashahada na astashahada
12% form four
Source sensa ya 2012
Kifupi ni 70% ni wajinga
 
Neema duniani

Utukufu mbinguni

Kimsingi neema zipo isipokuwa mnataka ziongezeke au mnataka utukufu katikati ya dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…