Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,003
- 4,584
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken Windwork!!!Desperado
Sasa unajiuliza mtu ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya gharama huwa anakunywa wapi ukimwambia agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku mzima na chipsi mayai
Mara mshikaki ya hapa siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe kwake kila siku anakula visivyoeleweka na akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!