Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikutoe out baasi...Sasa umemtoa out unataka ajigharimie mwenyewe? Mimi mtu akinitoa out naagiza chakula ambacho nyumbani kwangu huwa sipiki yaani unitoe out utegemee niagize ugali matembele aisee tafadhali bwana
Mimi nikutoe out baasi...
Hahahaha hata mm ilikua nikitoka lazima nile hata kama nmeshiba yaan ilikua lazima ...... Na ilikua ikitokea mtoko ndo nmetoka kula mda huo nachukia nahairisha tu ,mhusika nampanga siku ingine Hahahahahah.......Aisee hivi chuo kuna nini eti mimi nilikuwa nakula balaa karibu kila mlo ilikuwa lazima nisindikize na pepsi baridii ila nilikuwa na mwili wa kawaida kabisa nilivyotoka tu chuo chakula sili kama vile ila nikanenepa hatari
Tatizo hata hamuonyeshi ushirikiano nikisema mnitag mnanicheka sijui avatar inaniponza?Acha ubahili wewe nitoe out unataka kupendwa bure?
Hahaha...kuna vitu vinachekesha kwetu wabongo.‘Windwork’ ndo Windhoek??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyakula gani ambavyo hulagi kwako?Sasa umemtoa out unataka ajigharimie mwenyewe? Mimi mtu akinitoa out naagiza chakula ambacho nyumbani kwangu huwa sipiki yaani unitoe out utegemee niagize ugali matembele aisee tafadhali bwana
Hahaha...kuna vitu vinachekesha kwetu wabongo.
Ee fanya ubadilishe avatar weka kama ya DabyTatizo hata hamuonyeshi ushirikiano nikisema mnitag mnanicheka sijui avatar inaniponza?
Mimi mtu akinitoa out siku hiyo siliii yaani jiko linaenda likizoHahahaha hata mm ilikua nikitoka lazima nile hata kama nmeshiba yaan ilikua lazima ...... Na ilikua ikitokea mtoko ndo nmetoka kula mda huo nachukia nahairisha tu ,mhusika nampanga siku ingine Hahahahahah.......
Vingi sana baby...mfano kuku sijui nilikula liniVyakula gani ambavyo hulagi kwako?
Khaaah...haya acha ninyamaze.Vingi sana baby...mfano kuku sijui nilikula lini
Daaah ,yaan ilikua kama ni mtoko wa club lazima baadae anipitishe kwenye pizza batman au kwenye shawarma hahahaha........ Na njaa ilikua inauma kweliMimi mtu akinitoa out siku hiyo siliii yaani jiko linaenda likizo
Sio unyamaze fanya mpango kesho nileKhaaah...haya acha ninyamaze.
Kuku? haya tuma viambata vya kukufanya ule kuku.Sio unyamaze fanya mpango kesho nile
Nitakutumia pmKuku? haya tuma viambata vya kukufanya ule kuku.
haya.Nitakutumia pm