Aisee!! Kanishinda tabia

Aisee!! Kanishinda tabia

Mbona wewe K yake akikupa unaipiga style zakuuwana utadhani umegeuka kuwa mtoa roho, komoa nikukomoe hiyo inaitwa
 
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken Windwork!!!Desperado

Sasa unajiuliza mtu ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya gharama huwa anakunywa wapi ukimwambia agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku mzima na chipsi mayai

Mara mshikaki ya hapa siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe kwake kila siku anakula visivyoeleweka na akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!
Si umle sasa?
 
duh umegusa mule mule.....halafu nauli yenyewe utakuta buku ya bodaboda.....ila vipi ana chura? mambo anayaweza? ili upunguze maumivu ya virungu inabida umtumie vilivyo!...mi hapa niko hoi nimeshapigwa kirungu cha laki moja ya sare za harusi na nywele sijui..nafikiria nipige kimya manake hata ya vocha sina leo
i can feel your pain so sad
 
kuna hawa wanafunzi wa vyuo...
yuko m1 alipiga kilo ya ngurue pekeake na viepe vikavu vi2 na masavana ya kutosha.... kwanza nlishangaaa af nkamuonea huruma nkamuuliza vip wakufungie kingine uondoke nacho? hakunijibu lakini jicho aloniangalia nalo ilbidi nijiongeze nkamwambia muudumu afunge samaki2 sambusa8
na sio huyo pekee wanafunzi wengi(nlokua nao) ndivyowalivyo sjui wanakuaga na minyoo wale 😂 😂 ila wazuri ngoja tuwasaidie tuu
😀😀😀
 
Kwamba kwangu nakua nakula mchanga hadi nikiagiza kuku iwe ajabu? Wanaume msioweza kulipa bill mna shida sana.
Unadhani makwetu hatuli samaki kuku nyama? Tofauti inakua mapishi tu. Nitoke kwangu nije kula makande au ugali maharage kwenye mtoko kaka umerogwa???
Kwahiyo ukiniita outing ninywe choda na mma maana huna hela ya "henken"?
Siku niite mimi utafurahi mbona. Kwanza nikinywa Heineken nakua najibana au sitaki kulewa.
Ukumbuke mtoko ili unoge pombe na msosi uwepo. Kama huna hela mpikie kwako aje kula kanunue na pombe liquor store usave pesa.
 
Umemaliza
I think ni underage,hivi on a serious note kuna mwanaume analalamikia chakula?

Kwa sababu ataangalia mfuko na kumpeleka sehemu ya uwezo wake!

Unless otherwise ampeleke kwake!
 
duh umegusa mule mule.....halafu nauli yenyewe utakuta buku ya bodaboda.....ila vipi ana chura? mambo anayaweza? ili upunguze maumivu ya virungu inabida umtumie vilivyo!...mi hapa niko hoi nimeshapigwa kirungu cha laki moja ya sare za harusi na nywele sijui..nafikiria nipige kimya manake hata ya vocha sina leo
Ila ya bando ipo
 
Eti anakula visivyoeleweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken Windwork!!!Desperado

Sasa unajiuliza mtu ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya gharama huwa anakunywa wapi ukimwambia agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku mzima na chipsi mayai

Mara mshikaki ya hapa siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe kwake kila siku anakula visivyoeleweka na akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!
Unataka hawara na ubahili unao ni shiiida
 
Shkamoo wifi,hahaha
 
Nenda kwao ukamwambie sisi hatutaki umbea

Back
Top Bottom