Yeah, ukimtoa mtu out lazma ujiandae, wallet itune.haha ndo hapo sasa...out ni kula vinono
Haaaaah wanakuwaga na utumbo mnene si unajua hata vyakula wanavyo kula vyuoni low quality akitolewa out lazima ale kulipizakuna hawa wanafunzi wa vyuo...
yuko m1 alipiga kilo ya ngurue pekeake na viepe vikavu vi2 na masavana ya kutosha.... kwanza nlishangaaa af nkamuonea huruma nkamuuliza vip wakufungie kingine uondoke nacho? hakunijibu lakini jicho aloniangalia nalo ilbidi nijiongeze nkamwambia muudumu afunge samaki2 sambusa8
na sio huyo pekee wanafunzi wengi(nlokua nao) ndivyowalivyo sjui wanakuaga na minyoo wale [emoji23] [emoji23] ila wazuri ngoja tuwasaidie tuu
ha ha ha mkuu umeuakuna hawa wanafunzi wa vyuo...
yuko m1 alipiga kilo ya ngurue pekeake na viepe vikavu vi2 na masavana ya kutosha.... kwanza nlishangaaa af nkamuonea huruma nkamuuliza vip wakufungie kingine uondoke nacho? hakunijibu lakini jicho aloniangalia nalo ilbidi nijiongeze nkamwambia muudumu afunge samaki2 sambusa8
na sio huyo pekee wanafunzi wengi(nlokua nao) ndivyowalivyo sjui wanakuaga na minyoo wale [emoji23] [emoji23] ila wazuri ngoja tuwasaidie tuu
Haiwezekani kabisa [emoji114]Sasa umemtoa out unataka ajigharimie mwenyewe? Mimi mtu akinitoa out naagiza chakula ambacho nyumbani kwangu huwa sipiki yaani unitoe out utegemee niagize ugali matembele aisee tafadhali bwana
Aisee hivi chuo kuna nini eti mimi nilikuwa nakula balaa karibu kila mlo ilikuwa lazima nisindikize na pepsi baridii ila nilikuwa na mwili wa kawaida kabisa nilivyotoka tu chuo chakula sili kama vile ila nikanenepa hatarikuna hawa wanafunzi wa vyuo...
yuko m1 alipiga kilo ya ngurue pekeake na viepe vikavu vi2 na masavana ya kutosha.... kwanza nlishangaaa af nkamuonea huruma nkamuuliza vip wakufungie kingine uondoke nacho? hakunijibu lakini jicho aloniangalia nalo ilbidi nijiongeze nkamwambia muudumu afunge samaki2 sambusa8
na sio huyo pekee wanafunzi wengi(nlokua nao) ndivyowalivyo sjui wanakuaga na minyoo wale [emoji23] [emoji23] ila wazuri ngoja tuwasaidie tuu
Kusoma sio mchezo lazima ukaze msuli wanunulieni hakuna namnakuna hawa wanafunzi wa vyuo...
yuko m1 alipiga kilo ya ngurue pekeake na viepe vikavu vi2 na masavana ya kutosha.... kwanza nlishangaaa af nkamuonea huruma nkamuuliza vip wakufungie kingine uondoke nacho? hakunijibu lakini jicho aloniangalia nalo ilbidi nijiongeze nkamwambia muudumu afunge samaki2 sambusa8
na sio huyo pekee wanafunzi wengi(nlokua nao) ndivyowalivyo sjui wanakuaga na minyoo wale [emoji23] [emoji23] ila wazuri ngoja tuwasaidie tuu
Kusoma si kazi ndogoAisee hivi chuo kuna nini eti mimi nilikuwa nakula balaa karibu kila mlo ilikuwa lazima nisindikize na pepsi baridii ila nilikuwa na mwili wa kawaida kabisa nilivyotoka tu chuo chakula sili kama vile ila nikanenepa hatari
Kusoma si kazi ndogo
Bad bitches gettin' wet, here
Ulipokuwa chuo ulikuwa hukutani na Maji ya uhani direct sasa ulipotoka chuo ulikutana na maji ya uhai liveAisee hivi chuo kuna nini eti mimi nilikuwa nakula balaa karibu kila mlo ilikuwa lazima nisindikize na pepsi baridii ila nilikuwa na mwili wa kawaida kabisa nilivyotoka tu chuo chakula sili kama vile ila nikanenepa hatari
Ulipokuwa chuo ulikuwa hukutani na Maji ya uhani direct sasa ulipotoka chuo ulikutana na maji ya uhai live
Chezea sperm wewe
Full vitamin