Aisee!! Kanishinda tabia

Mbona wewe K yake akikupa unaipiga style zakuuwana utadhani umegeuka kuwa mtoa roho, komoa nikukomoe hiyo inaitwa
 
Si umle sasa?
 
i can feel your pain so sad
 
😀😀😀
 
Kwamba kwangu nakua nakula mchanga hadi nikiagiza kuku iwe ajabu? Wanaume msioweza kulipa bill mna shida sana.
Unadhani makwetu hatuli samaki kuku nyama? Tofauti inakua mapishi tu. Nitoke kwangu nije kula makande au ugali maharage kwenye mtoko kaka umerogwa???
Kwahiyo ukiniita outing ninywe choda na mma maana huna hela ya "henken"?
Siku niite mimi utafurahi mbona. Kwanza nikinywa Heineken nakua najibana au sitaki kulewa.
Ukumbuke mtoko ili unoge pombe na msosi uwepo. Kama huna hela mpikie kwako aje kula kanunue na pombe liquor store usave pesa.
 

Umemaliza
I think ni underage,hivi on a serious note kuna mwanaume analalamikia chakula?

Kwa sababu ataangalia mfuko na kumpeleka sehemu ya uwezo wake!

Unless otherwise ampeleke kwake!
 
Ila ya bando ipo
 
Eti anakula visivyoeleweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unataka hawara na ubahili unao ni shiiida
 
Shkamoo wifi,hahaha
 
Nenda kwao ukamwambie sisi hatutaki umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…