Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Umefanya makosa makubwa sana ku-quote reply yangu.

Niombe radhi mara moja we pimbi.

Huwezi kunikimbia kimya kimya bila kunipa taarifa.

Nilikumiss sana we mwanamke aisee!
Nikuombe radhi hapa au kwa majaliwa??

Mzima weye?
Nimekuhamu sana pimbi wangu
 
Soma tena upya upupu ulioandika hapa.
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
 
Zile video walizokua wanapost yeye na mama ake wanashindana kukata viuno unasemaje juhusu hilo? Vipi baba yake mzazi aliyesema amenawa mikono ? Usijifanye una uchungu kuliko Majani kumbuka ukipanda mahindi huwezi vuna kunde.
 
wasanii wanaishi kisanii.. huko mbele ya safari vikitibuka utakuja kusiki Mmakonde nae kataka kumbaka huyo mtoto dada
 
Hii ishu HARMONIZE itamtafuna baadae atakapoacha na kajala na si mbali hata miezi 6 hamalizi..sio kwamba Rayvanny kafanya kitu poa ila watu watashangaa sana usinitch wa jamaa kumchomea mwenzie utambi utadhani hawakuwahi kukaa pamoja kwenye maisha yao...nina amini wasanii wengi kwa sasa hawatakua tayari kua beneti na jamaa kiugupi ametengeneza maadui wapya bila kujua.
 
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
kwaiyo dogo kafanya makosa kupima oil?
 
Soma tena upya upupu ulioandika hapa.
jamaa hajakosea kitu awe private au fresh akivaa nguo za shule kesi unaibeba kaka......cha msingi rayvanny na team yaje waombe msamaha kwa familia ya binti kama ni faini basi apigwe atoe yaishe......suala likifika mahakamani hatapona text zote wakiwa wanachat zitafuatwa makao ya mtandao wanaotumia......direct lazima atapata shida
 
Kwani unajua wmeanza kudate lini? Ray kaanza kupiga mashine uyo mtoto baada ya kumalza shule...huyo sio dent mbona mnalazimisha uanafunz kiboya hivyo?
 
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
Private candidate sio mwanafunz kama wanafunz wengne...huyo ni 4m4 failure ameamua kureseat....hawez Kua sawa na fresh students

Shule gani anaenreseat anavaa mpaka uniform za shule? [emoji3] Ukiona hivyo labda ni private na inafanywa kama deal hapo..

Wanaovaa nguo za shule wao huanza form 2 tena kwa kutumia majina ya wanafunz wengne...mtu unauziwa jina anarud zake form 2 unaendelea kusoma mpaka form4 unapiga pepa.

Paula sio mwanafunz..ni mwanakijiji tu ambae ame clear chet chake sasa anawaza aende kuomba kazi,au college au akachukue uanafunziwa A level kitu paula kwa bata zake hawez kubal kwend vaa uniform saiz..
 
Sasa atachomoka wapi wakati amepost yeye mwenyewe
 
Mkuu Private Candidate unaweza kua hata wewe ,babu,mjamzito ,mke au mume ni nje ya mfumo rasmi elewa kwanza hapo.
 
Kwa hiyo hapo kesi ni kupost ? OK ngojea tuone.
Paka sasa, sijasikia TCRA wanasemaje . Ujue kale ka video hakana mambo kabisa, ila Njomba nchumali katia petrol tu, kwa mapenzi yake. Ingekuwa ile video ya udhalilishaji wa kingono jamaa wangekuwa washadaka na yupo ndani anasubiri dhamana. Ngoja tuone hili li movie linapo enda ishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…