Tz kwaakili hizi sasa naanza kuelewa kwanini watu kama Hitler walikuwepo mtu anaandika kama katolewa ubongo enzi za Hitler huyu unapiga shaba.
Sawa wadhalilishaji So ??tunakusikiliza.Sio udhalilishaji wametupia kwa kujiamini na hawajafuta.
Kama Rayfanny sio mdhalilishaji kwa nini alifuta?
Mtoto wa nyoka ni nyoka,huwezi panda bange ukategemea kuvuna mahindi.Sio udhalilishaji wametupia kwa kujiamini na hawajafuta.
Kama Rayfanny sio mdhalilishaji kwa nini alifuta?
Unahangaika na huyo jamaa wa mwamapalala huko ..... Jamaa hata hajui hii issue imefikia level gan ...na usikute hata clip hajaiona , kafungulia redio huko akasikia sikia , kakimbilia kuunga bando na kuingia JF.....Vipi hii sio uzalilishaji?View attachment 1704170
Alafu ni mwanamke kaolewaUnahangaika na huyo jamaa wa mwamapalala huko ..... Jamaa hata hajui hii issue imefikia level gan ...na usikute hata clip hajaiona , kafungulia redio huko akasikia sikia , kakimbilia kuunga bando na kuingia JF.....
Sawa wadhalilishaji So ??tunakusikiliza.
Hawaombi radhi So? TunakusikilizaMdhalilishaji na self conviction.
WCB wadhalilishaji, waombe radhi kwa Paula, tena wamuombe radhi hadharani na wamlipe fidia.
Wema Sepetu alijipost akawa convicted , kwa nini Rayvanny apete.
WCB wasipomshughulikia Rayvanny wanakubaliana nae na udhalilishaji wake.
Mtoto wa nyoka ni nyoka,huwezi panda bange ukategemea kuvuna mahindi.
Kuzaa sio kazi kazi kulea na mara nyingi tabia za mtoto zina akisi tabia na mzazi,Majani aliyaona mapema haya na yametia.
Hawaombi radhi So? Tunakusikiliza
Mtaomba tu dadeki.
Mwanapalala.
Kwahakika huko shule umeenda somea ujingaMkuu fidia kwa upande wa kajala wanaweza kuchangiwa hata na wananchi wanaowaunga mkono....ila jela miaka30 hakuna anaeweza kumsaidia rayvanny hata masaa2 pale segerea...kwhy rayvanny ameshika kwenye makali mpaka sasa
Na kuhusu kubakwa hakuna mahali popote ambapo kajala anadai mwanae alibakwa...ila anadai walimrubuni kwa kumpa pombe wakampiga picha bila idhini yake na ushahidi huu nahisi umetolewa na paula mwenyewe baada ya kubanwa na mama yake kuhusiana na hizo clip...kwhy kabla ya ili tukio kajala alikua hajui chochote hapaswi kulaumiwa
Wasafi TV Tar 28 keshokutwa iko hewan, mwezi huu huu wa piliWasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Hao wananchi n wawapi ? Sema wewe uko nyuma yao usiseme wananchiHizo zote ni dhana zakufikirika mkuu..unapovunja sheria yeyote ya nchi ni swala la wewe agaisnt serikali ambayo imeweka hizo sheria...hakuna swala la mtu na mtu wala mtu na serikali...ila ni swala la mvunja sheria na sheria yenyewe..coz hata ukiikosea serikali itakuhukumu kwa mujibu wa sheria na ukimkosea mtu binafsi atakushtaki kwa mujibu wa sheria
Pili usiichululie poa familia ya kajala au familia ya pfunk...ukaiona ni familia dhaifu wanaouwezo wa kufanya lolote na kwa mda wowote na wana influence ya kupata msaada kokote kama wakihuitaji..na usisahu wananchi wakiwa nyuma yao
Hakuna mtoto mwenye miaka 19/20 weweUdhalilishe watoto wa watu halafu utegemee magufuli atakutetea...mmemsahau makonda magufuli alichomfanya kwa ujinga ujinga wake pamoja na undugu walionao..sembuse huyu diamond
Huyo alisomea ujingaHakuna mtoto mwenye miaka 19/20 wewe
Huko shule umesomea kitu gani ww ?
Udhalilishaji uko wapi kwenye ile video ?Mkuu una mtoto wa kike? kwahiyo unashabikia udhalilishaji kwa watoto wa kike? Je umejiuliza kama ameishalimaliza hilo jambo na Jamhuri? Mkuu alichofanya huyo Rayvan ni kosa la jinai maana yake Jamhuri ndiyo itadili nae na siyo huyo P.Funk.
Private candidate hawez kua kama mwanafunzi mwingine, private candidate anaweza kua hata na miaka 50 huko , yuko nje ya mfumo wa elimu rasmiPrivate candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.
Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.