Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Tz kwaakili hizi sasa naanza kuelewa kwanini watu kama Hitler walikuwepo mtu anaandika kama katolewa ubongo enzi za Hitler huyu unapiga shaba.

10-4. Ndio wanaume fuska mlipofikia. Hamfanikiwi kwa pointi bila kudhakilisha, kupoga vijembe na kuundernine hasa wanawake.

Wewe na Hitler hamna tofauti. You will do anything for fame.
 
Sio udhalilishaji wametupia kwa kujiamini na hawajafuta.

Kama Rayfanny sio mdhalilishaji kwa nini alifuta?
Mtoto wa nyoka ni nyoka,huwezi panda bange ukategemea kuvuna mahindi.

Kuzaa sio kazi kazi kulea na mara nyingi tabia za mtoto zina akisi tabia na mzazi,Majani aliyaona mapema haya na yametimia.
 
Unahangaika na huyo jamaa wa mwamapalala huko ..... Jamaa hata hajui hii issue imefikia level gan ...na usikute hata clip hajaiona , kafungulia redio huko akasikia sikia , kakimbilia kuunga bando na kuingia JF.....
Alafu ni mwanamke kaolewa
 
Sawa wadhalilishaji So ??tunakusikiliza.

Mdhalilishaji na self conviction.

WCB wadhalilishaji, waombe radhi kwa Paula, tena wamuombe radhi hadharani na wamlipe fidia.

Wema Sepetu alijipost akawa convicted , kwa nini Rayvanny apete.

WCB wasipomshughulikia Rayvanny wanakubaliana nae na udhalilishaji wake.
 
Mdhalilishaji na self conviction.

WCB wadhalilishaji, waombe radhi kwa Paula, tena wamuombe radhi hadharani na wamlipe fidia.

Wema Sepetu alijipost akawa convicted , kwa nini Rayvanny apete.

WCB wasipomshughulikia Rayvanny wanakubaliana nae na udhalilishaji wake.
Hawaombi radhi So? Tunakusikiliza
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka,huwezi panda bange ukategemea kuvuna mahindi.

Kuzaa sio kazi kazi kulea na mara nyingi tabia za mtoto zina akisi tabia na mzazi,Majani aliyaona mapema haya na yametia.

Haijalishi Paula ni mtoto wa nani, kadhalilishwa.

Kwa nini alifuta kama sio udhalilishaji? Azipandishe tena a trend zaidi na nyimbo nyingine atoe.
 
Mkuu fidia kwa upande wa kajala wanaweza kuchangiwa hata na wananchi wanaowaunga mkono....ila jela miaka30 hakuna anaeweza kumsaidia rayvanny hata masaa2 pale segerea...kwhy rayvanny ameshika kwenye makali mpaka sasa
Na kuhusu kubakwa hakuna mahali popote ambapo kajala anadai mwanae alibakwa...ila anadai walimrubuni kwa kumpa pombe wakampiga picha bila idhini yake na ushahidi huu nahisi umetolewa na paula mwenyewe baada ya kubanwa na mama yake kuhusiana na hizo clip...kwhy kabla ya ili tukio kajala alikua hajui chochote hapaswi kulaumiwa
Kwahakika huko shule umeenda somea ujinga
 
Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Wasafi TV Tar 28 keshokutwa iko hewan, mwezi huu huu wa pili

Huko shule umeenda somea ujinga
 
Hizo zote ni dhana zakufikirika mkuu..unapovunja sheria yeyote ya nchi ni swala la wewe agaisnt serikali ambayo imeweka hizo sheria...hakuna swala la mtu na mtu wala mtu na serikali...ila ni swala la mvunja sheria na sheria yenyewe..coz hata ukiikosea serikali itakuhukumu kwa mujibu wa sheria na ukimkosea mtu binafsi atakushtaki kwa mujibu wa sheria
Pili usiichululie poa familia ya kajala au familia ya pfunk...ukaiona ni familia dhaifu wanaouwezo wa kufanya lolote na kwa mda wowote na wana influence ya kupata msaada kokote kama wakihuitaji..na usisahu wananchi wakiwa nyuma yao
Hao wananchi n wawapi ? Sema wewe uko nyuma yao usiseme wananchi
 
Udhalilishe watoto wa watu halafu utegemee magufuli atakutetea...mmemsahau makonda magufuli alichomfanya kwa ujinga ujinga wake pamoja na undugu walionao..sembuse huyu diamond
Hakuna mtoto mwenye miaka 19/20 wewe

Huko shule umesomea kitu gani ww ?
 
Mkuu una mtoto wa kike? kwahiyo unashabikia udhalilishaji kwa watoto wa kike? Je umejiuliza kama ameishalimaliza hilo jambo na Jamhuri? Mkuu alichofanya huyo Rayvan ni kosa la jinai maana yake Jamhuri ndiyo itadili nae na siyo huyo P.Funk.
Udhalilishaji uko wapi kwenye ile video ?
 
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
Private candidate hawez kua kama mwanafunzi mwingine, private candidate anaweza kua hata na miaka 50 huko , yuko nje ya mfumo wa elimu rasmi
 
Hapo kesi labda ni kuchapisha maudhui yasiyofaa mitandaoni..private candidate huyo sio mwanafunzi. Binti mwenyewe anaonekana ni malaya tu.
 
Back
Top Bottom