Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi
Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye kuchambua fomu za matokeo yaliyopo kwenye mtandao wa IEBC basi ikaonekana kwa mbali juu ya fomu kuna jina limeandikwa Jose Camargo basi kama kawaida yake akasema huyo mtu mwenye hilo jina ndio ali hack mtandao huo na kupakia fomu feki za matokeo na ushahidi ni jina aliloacha kwenye fomu hizo feki..!
Sasa mtandaoni kote kukalipuka, kila mahali anatajwa tu huyo Jose Camargo, kuwa ndio hacker mkuu aliyewateulia Wakenya rais wao, viongozi na wafuasi wa Azimio wote ni kukomaa na hilo jina
Sasa kumbe jina lenyewe halikuwa hata limeandikwa kwenye fomu, bali lilikuwa kwenye bahasha za kufungia matokeo, na huyo Jose Camargo alikuwa ndio muandaaji wa hizo bahasha ambapo IEBC ilimpa tenda bila kificho, kwenye kupiga picha ndio fomu ndio ikatokea na jina la Jose Camargo likatokea kwa sababu fomu ilikuwa juu ya bahasha
Ila swali simple tu, hata kama hilo jina lilikuwa kwenye fomu kweli, ni hacker mjinga kiasi gani ata hack na kubadili matokeo kisha aandike jina lake kwenye fomu za matokeo?🤣🤣
Matoke yaliyopo kwenye hiyo fomu ndio matokeo yaliyobandikwa kwenye kituo cha kupigia kura na ndio matokeo waliyopewa mawakala wa Odinga, sasa hilo jina linaathiri vipi matokeo?