Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

Angalia tarehe za hiyo fomu original, Tarehe imesainiwa tofauti na si siku ya uchaguzi

Forgery ya kipuuzi sana ya IEBC
Mawakala ndio wamekosea kujaza ila maafisa wa tume wamejaza tarehe sawa tu, makosa madogo madogo lazima yawepo sababu mawakala wenyewe ni watu wa mtaani tu

Cha muhimu ni kuwa matokeo ya kwenye fomu ndio yaliyobandikwa kituoni na ndio waliyopewa mawakala wa Odinga

Ila kwa akili za kawaida mtu atafoji matokeo kisha aandike tarehe ambayo kafoji na sio tarehe ya uchaguzi? Atakosa akili kiasi hicho?
 
Makosa katika uchaguzi yanaweza kuwa mengi, hasa chaguzi zinazofanyika mataifa yaliyomo barani humu. Wakuu wa tume za chaguzi wanaweza kuamua nani awe mshindi au nani asiwe, hivyo Odinga anajua anachokifanya kwa sababu katika hali ya kawaida huwezi kuenda mahakamani ikiwa huna ushahidi wa kutosha ukizibgatia mchakato ulivyo mgumu.
Kila kitu kipo wazi na kimewekwa wazi mahakamani, kwani wewe huna akili ya kuchambua mambo kisa Odinga kasema ndio ukubali?
 
Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi

Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye kuchambua fomu za matokeo yaliyopo kwenye mtandao wa IEBC basi ikaonekana kwa mbali juu ya fomu kuna jina limeandikwa Jose Camargo basi kama kawaida yake akasema huyo mtu mwenye hilo jina ndio ali hack mtandao huo na kupakia fomu feki za matokeo na ushahidi ni jina aliloacha kwenye fomu hizo feki..!

Sasa mtandaoni kote kukalipuka, kila mahali anatajwa tu huyo Jose Camargo, kuwa ndio hacker mkuu aliyewateulia Wakenya rais wao, viongozi na wafuasi wa Azimio wote ni kukomaa na hilo jina

Sasa kumbe jina lenyewe halikuwa hata limeandikwa kwenye fomu, bali lilikuwa kwenye bahasha za kufungia matokeo, na huyo Jose Camargo alikuwa ndio muandaaji wa hizo bahasha ambapo IEBC ilimpa tenda bila kificho, kwenye kupiga picha ndio fomu ndio ikatokea na jina la Jose Camargo likatokea kwa sababu fomu ilikuwa juu ya bahasha

Ila swali simple tu, hata kama hilo jina lilikuwa kwenye fomu kweli, ni hacker mjinga kiasi gani ata hack na kubadili matokeo kisha aandike jina lake kwenye fomu za matokeo?🤣🤣

Matoke yaliyopo kwenye hiyo fomu ndio matokeo yaliyobandikwa kwenye kituo cha kupigia kura na ndio matokeo waliyopewa mawakala wa Odinga, sasa hilo jina linaathiri vipi matokeo?

View attachment 2343326

View attachment 2343327
Sasa itakujsyale Mahimbo ambayo put a zao hazikuwekwa kwenye jumla kuu, hivyo matokea ni
 
Unachekesha kweli we jamaa!! freAk!
 
Sema huja skiliza kesi yote. .kazi kuropoka tu kwa hints za kuokoteza.

Kwahiyo Chebukati kuprint Form 2 za aina 1 na zote kuzi sambaza vituoni alikuwa na lengo gani?
KIEMS Kits ku retrieve matokeo kwa IP address moja akati kila moja ina IP address yake unadhani ni siasa ee?
Form walio peleka UDA eti OG kwa Judge kupinga hiyo ulio weka hapa na kujikuta ime sainiwa tarehe 7/08/22 b4 election una dhani ni mchezo?

Katika sample ya vituo 15 sampled. 57% kulikuwa na mapungufu makubwa!!

Log ins za Wavenezuela from July hadi 29/08 una dhani ma judge ni wapumbavu ee?eti maintenance.

Kesi kabla haija amuliwa usijipe feki Hopes. Subiri J3.
 
President Elected

Bottom Up, Hustler, William Samoe Arap Ruto
 
Mie Furaha yangu ni kumtazama tu huyu mama
Philomena Mwilu
Dah maza ni mzuri huyu hadi kuongea
IMG_6723.jpg

IMG_6725.jpg
 
Maajenti kusign tarehe ambayo sio si makosa ya IEBC, ni makosa ya maajenti... Maajenti huandikwa kazi na vyama vyao vya kisiasa na wao ndo hua watu wa mwisho kutia saini kwa fomu... Kwahivyo hio haiwezi ikatumika kama ushahidi eti fomu ni forgery
 
Unamdharau vipi akati mwenzako anatafuta uraisi.............au unadhani Yuko kwenye punyeto hapo........wewe ndio WA kudharauliwa na ufala wako bure kabisa kama chebukati nyampara
[emoji1][emoji16][emoji1787]
 
Sema huja skiliza kesi yote. .kazi kuropoka tu kwa hints za kuokoteza.

Kwahiyo Chebukati kuprint Form 2 za aina 1 na zote kuzi sambaza vituoni alikuwa na lengo gani?
KIEMS Kits ku retrieve matokeo kwa IP address moja akati kila moja ina IP address yake unadhani ni siasa ee?
Form walio peleka UDA eti OG kwa Judge kupinga hiyo ulio weka hapa na kujikuta ime sainiwa tarehe 7/08/22 b4 election una dhani ni mchezo?

Katika sample ya vituo 15 sampled. 57% kulikuwa na mapungufu makubwa!!

Log ins za Wavenezuela from July hadi 29/08 una dhani ma judge ni wapumbavu ee?eti maintenance.

Kesi kabla haija amuliwa usijipe feki Hopes. Subiri J3.
Hizo form mbili za matokeo hua ya kwanza inasema Form 1 of 2 na ya pili inasema Form 2 of 2... Zote hua zikija zishajazwa majina ya kituo so hauwezi kuitumia mahali kwengine popote ila kituo hicho kimoja, na ukitumia form ya kwanza au ya pili basi inajulikana kwasababu ya hio Form # of #. Kuna sababu kwanini hua kuna form mbili, ukitaka sababu hio niambie ntakueleza.

Kiems kit kua na IP address moja hio ni jambo la network design... Kuna technolojia inaitwa NAT Network Address Translation ambapo more than one device inaweza kutumia the same public IP address... pia DHCP lease time ya IP address inaezakua kit moja ikikaa mda flani bila kunaccess network, hio ip address lease time ikiisha basi ip inapeanwa kwa device nyengine ambayo inaingia kwa network. Kama ungesema two forms were uploaded by a kit with the same IMEI number hapo ndo kungekua na shauku.

Maajenti kusign form na kuandika tarehe 7 ni makosa ya ma agenti, si makosa ya IEBC, maajenti hua ndo watu wa mwisho kutia saini kwa fomu, hivi unataka uniambie agenti wa ODM na wa UDA wote watakua wapuuzi ku sign fomu ya matokeo kabla siku ya kura, watakua waliitoa wapi? kisha wote wanyamaze bila kuripoti kwa vyama vyao?

Katika hizo sample ya vituo 15 makosa yalikuwepo kwa vituo 6, makosa hayo yalikua kama kitabu cha pili cha matokeo hakikuwepo ndani ya box... copy ya formu ya matokeo haikuwepo.... makosa kama hayo, lakini la muhimu ni kwamba zile kura zenyewe zilipohesabiwa vituo tisa vililingana na matokeo yaliochapishwa kwa tovuti na IEBC, hivyo vyengine ambavyo walipata hitilafu ilikua ni ndogo ndogo mno, kama vile kura moja ..tena ilikua inatokea kwa pande zote mbili yani mara ni raila ndo amepungukiwa na kura moja, alafu sandunku lengine unapata ni ruto ndo kapungukiwa, so no conspirancy hapo, just simple clerical error..

Ripoti hio ya mahakama pia inaonyesha logs za server hazikuonyesha uizi wa aina yoyote, kama unataka ripoti hio sema nikutumie, usiskize propaganda za mtandaoni jisomee mwenyewe...

---------

Kama mahakama itasema kura zirudi tena, haitakua sababu ni eti ziliibiwa, itakua ni sababu hesabu za waliopiga kura zikigawanywa nusu na mahakama zinaonyesha ruto hakupata zaido ya 50% , yani kulikua na error kwenye calculation.. Lakini kama hesabunza mahakama hazitapata makosa basi watakua hawana budi ila kutupilia kesi nje manake hakuna ushahidi wenhe nguvu ya kubatilisha matokeo
 
Odinga anatafuta sababu ionekane uchgauzi ulikua na ghilba lakini hatoweza.ngoma ishapigwa imeisha iyo Ruto ndo ataapishwa Urais.
Mzee Odinga anajaribu kucheza kete yake hapo huenda kura zikahesabiwa upya au uchaguzi wa Rais kurudiwa.
 
Pole

Uhuru si angefanya kama alivyofanyiwa Naibu wa Jecha naada ya Jecha kuitwa Jumba jeupe akasema ngoja mie nikae kwny kiti nimalizie matokeo yaliyobaki hadi akirudi nshamaliza kazi

kilichomkuta hatokisahahu
Alishughulikiwa ?
 
Hizo form mbili za matokeo hua ya kwanza inasema Form 1 of 2 na ya pili inasema Form 2 of 2... Zote hua zikija zishajazwa majina ya kituo so hauwezi kuitumia mahali kwengine popote ila kituo hicho kimoja, na ukitumia form ya kwanza au ya pili basi inajulikana kwasababu ya hio Form # of #. Kuna sababu kwanini hua kuna form mbili, ukitaka sababu hio niambie ntakueleza.

Kiems kit kua na IP address moja hio ni jambo la network design... Kuna technolojia inaitwa NAT Network Address Translation ambapo more than one device inaweza kutumia the same public IP address... pia DHCP lease time ya IP address inaezakua kit moja ikikaa mda flani bila kunaccess network, hio ip address lease time ikiisha basi ip inapeanwa kwa device nyengine ambayo inaingia kwa network. Kama ungesema two forms were uploaded by a kit with the same IMEI number hapo ndo kungekua na shauku.

Maajenti kusign form na kuandika tarehe 7 ni makosa ya ma agenti, si makosa ya IEBC, maajenti hua ndo watu wa mwisho kutia saini kwa fomu, hivi unataka uniambie agenti wa ODM na wa UDA wote watakua wapuuzi ku sign fomu ya matokeo kabla siku ya kura, watakua waliitoa wapi? kisha wote wanyamaze bila kuripoti kwa vyama vyao?

Katika hizo sample ya vituo 15 makosa yalikuwepo kwa vituo 6, makosa hayo yalikua kama kitabu cha pili cha matokeo hakikuwepo ndani ya box... copy ya formu ya matokeo haikuwepo.... makosa kama hayo, lakini la muhimu ni kwamba zile kura zenyewe zilipohesabiwa vituo tisa vililingana na matokeo yaliochapishwa kwa tovuti na IEBC, hivyo vyengine ambavyo walipata hitilafu ilikua ni ndogo ndogo mno, kama vile kura moja ..tena ilikua inatokea kwa pande zote mbili yani mara ni raila ndo amepungukiwa na kura moja, alafu sandunku lengine unapata ni ruto ndo kapungukiwa, so no conspirancy hapo, just simple clerical error..

Ripoti hio ya mahakama pia inaonyesha logs za server hazikuonyesha uizi wa aina yoyote, kama unataka ripoti hio sema nikutumie, usiskize propaganda za mtandaoni jisomee mwenyewe...

---------

Kama mahakama itasema kura zirudi tena, haitakua sababu ni eti ziliibiwa, itakua ni sababu hesabu za waliopiga kura zikigawanywa nusu na mahakama zinaonyesha ruto hakupata zaido ya 50% , yani kulikua na error kwenye calculation.. Lakini kama hesabunza mahakama hazitapata makosa basi watakua hawana budi ila kutupilia kesi nje manake hakuna ushahidi wenhe nguvu ya kubatilisha matokeo
Nime login nikujibu hapo kwenye KIEMS kit....
1. Two different devices on single Network can never have same IP address labda kama unazungumzia Networking ya Mars.

Wakili wa IEBC alikiri kabisa "I admit that we had 2 KIEMS kit with same Serial numbers used to send results from different polling stations, but this is not allowed and we will bring them to court"
 
Magent wa ODM na UDA wote wakosee kosa moja at the same time?

Look at your arguments.... why IEBC is trying hard to defend hao Wavenezuela
 
You are talking of LAN my friend which is not the case here. I'm talking about public IP address... You can have 50 devices in an office each with its own unique private IP address but once any of those devices needs to access the internet, they can all use 1 single public IP address... These kiems kits use Safaricom SIM cards.. I bet you not all sim card accessing the internet have unique IP address, that would be a waste of IPv4 protocol, if the internet worked like that we would have run out of IPv4 addresses back in 1998.

Anyways, naona hapo gumzo limegeuka kwa serial numbers.... thats a whole other issue different from 'using the same IP address'
 
Magent wa ODM na UDA wote wakosee kosa moja at the same time?

Look at your arguments.... why IEBC is trying hard to defend hao Wavenezuela
Agent wa kwanza akishakosea, wa pili anamuigiza wa kwanza, very simple.

Server za IEBC zilifunguliwa na hazikuonyesha hacking yoyote lakini bado watu wanataka kuamini science fiction.
 
Back
Top Bottom