Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

Mpare wa Kenya huyo lazima amor Ruto ushindi.
Bwanake ni Amos Wako amabaye alikua mojawepo wa watetezi wa BBI ambayo iliyltupiliwa mbali na Mahakama hii yenye bibiyake yupo , kamamaa hakapendi mchezo na kazi

 
Kura zilikuwa 488 zimeharibika 4 halafu nzuri ziwe 321??
Ukitoa 4 kwenye 488 ndio jibu 321 kweli
 
Kura zilikuwa 488 zimeharibika 4 halafu nzuri ziwe 321??
Ukitoa 4 kwenye 488 ndio jibu 321 kweli
Makosa haya hua yanarekebishwa kwa fomu 34B pale eneo bunge ata kabla ifike Nairobi...
Yani tuseme pale kituoni watu 300 wamepiga kura...
Kwenye fomu 34A imeandikwa
200 ni za Ruto
100 ni za Raila
Alafu pale kwa total afisa wa IEBC ameandika 350 badala ya 300.. Kinachofanyika ni RO ambaye ndo mkubwa wa bunge akijaza fomu 34B anachukua kura 200 za Ruto na 100 za Raila kutoka kwa hicho kituo kimoja na kuchanganya na kura za vituo vyengine kutoka eneo bunge (kwahivyo hayo makosa ya hesabu za total hayataingia kwa hesabu yake -hatahivyo, kuna mahali kwenye tovuti ya iebc ataandika ile total ya kimakosa anayoiona pale for accountability and transparency) akimaliza anajumlisha za raila ni ngapi na za ruto ni ngapi ..... Akimaliza hio hesabu anachapisha form 34B kisha kuchukua originals zote 34A kutoka eneo bunge na kuenda nazo Nairobi.... Ikifika Nairobi wanachofanya ni kulinganisha nambari zilizoko kwa original 34A na zile zimeandikwa kwa 34B, wakiona ni hivyo basi wanakusanya 34B za maeneo bunge yote na kujumlisha kwa fomun 34C.....
Ninachojaribu kusema ni kwamba kunazo mbinu za kurekebisha makosa ya hesabu, chenye hakiwezi kurekebishwa ni pale panaposema mgombea huyu amepata kura 46 na mwengine kapata 50 hapo hairuhusiwi kurekebishwa kisheria ukienda kujaza form 34B inabidi iandikwe vile vile ilivyo
 
Kusema kweli wewe jamaa unataka kuwadanganya watu... I've experience working with millions devices exchanging data...

First of all KIEMS device can not use all IPv4 IP addresses available in the Network(IP addresses za IEBC zinatumia 10...1 IPs). I've real experience ya devices Ambazo zinatumia Safaricom, hata Safaricom ikitoa SIM cards 2M kwa ajili ya Kiems kits hazitajaa.

Second inaonekana hujui namna Data is communicated between a client and server, all clients connecting to a server should be uniquely identifiable, this is too simple to understand (each client have its different resources needs and what they will do), imagine Safaricom iwape wateja wawili namba za simu ambazo zinafana...
 
Pia sijui in which context unazungumzia Public IP hapa...
 
Odinga hakujua anachokifanya mkuu, mambo yote 9 hakuna ushahidi wowote
 
Vipi mkuu matokeo ya kesi? Umeamini mawakili walikuwa vilaza?
 
The fact that you keep on insisting on this shows just how little you know about networking and NAT....
10.x are part of Class A private IP addreses... From 10.0.0.0 - 10.255.255.255 i.e These are not routable addresses, they cannot be used to access the internet... So hapo tayari ushauma nje!
Safaricom did not allocate IEBC 46,000 unique IP public routable addresses, that would be ludicrous...


Public IP addresses using NAT work using Port forwarding...I.e different computers using the same router as the gateway might use the same ip address but each request is made through a unique port number and when the server is replying the reply would come to the same IP but through the same port thus find itself going to the same computer that made the tcp request because of the port number.

See the NAT table below, each device on the left has a unique Private IP address but they all use the same public IP address but each request from a different computer has a unique random port number after the ':' This is how the internet and IPv4 works and this is how a server would differentiate one computer/request from another using the port/socket number even though the requests come from the same IP address. Its also how a single web browser is able to fetch multiple pages at the same time bcoz each request from the same IP is assigned a random and unique port number

So as far as the internet is concerned in this ☝🏾 figure, there is only 1 unique Public IP address which is 200.1.1.45
 
MKUU

The state ikimtaka mtu WAO hata ukileta za kuleta hutomshinda muhusika!!

Achana na hayo!

Imba WIMBO HUU hapa;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…