Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Hahaa......mbona hatukustuana mapema aiseeMie nikiwaga bataka kulitafakari jambo kwa kina, huenda bar nakunywa serengeti lite taratibu peke yangu, nakaa meza ya peke yangu pembeniiii, isiwe bar ya makelele, aisee hapo napataga majibu yote. Nikishamaliza naweka ktk note ya simu yangu kwa mpangilio, nakazia na mdudu na ndizi za mwaisa za kuponda hapo napata kafriji ka kufutia simu janja yangu.