Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Hahahah una balaa wewe, tupe kazi bana 🀣🀣🀣
 
Ukiwaachia gari kwenda kufata spare dukani wanatoa kifaa kizima, then wanakuchomekea kifaa kibovu, ukirudi unakutana na stori mpya tena

Mimi nawaitaga nyumbani na ni baada ya kufanya whole check up ya gari youtube, then namwambia tatizo..
Garage nayoenda ya nyumbani
 
kupigwa kupo tu afu ukitaka upigwe zaidi na wewe uwepo utajua unajua kumbe ujui bora usiwepo watakuhurumia kidogo [emoji1787][emoji1787]
ni kweli kabisa,

ukitaka uumie vizuri ukandamizwe ukandamizike jifanye unasimamia mafundi jitie unaenda nae dukani kununua wote vifaa yani Utakiona cha mtema kuni.
 
Mlolongo nakumbuka ulinifata inbox ukihitaji gari nakumbuka nilikutumia picha zake ukasema gari Yangu ni Carina ti ni ya kizamani,sasa sijui umepigwa gari tena ambayo umeanza kutumia pesa kiasi hicho...
Mkuu hiyo gari yako umenunua ya Aina gani?

Babywoka za awamu ya tano.
Mojawapo kati ya hizi: IST, Swift, Honda Fit.

Dah, Carina imekaa kizee sana. Unaendesha kama umekaa kwenye kigoda. Japo nakubali ni gari imara aisee.
 
Hao wamemupiga kwenye vifaa,washampanga huyo muuzaji kwahiyo walivyoenda na wewe ni kanyaboya tu.

Usicheze na mafundi,kila mtu anakula kazini kwake.

Ukiwa mjanja mjanja baadae kwenye magari utajua tu.Inaonekana hata gari lenyewe wamelivuna/wamegema[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mlolongo nakumbuka ulinifata inbox ukihitaji gari nakumbuka nilikutumia picha zake ukasema gari Yangu ni Carina ti ni ya kizamani,sasa sijui umepigwa gari tena ambayo umeanza kutumia pesa kiasi hicho...
Mkuu hiyo gari yako umenunua ya Aina gani?
Uwiiiii[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe ndo huyu haaahaaa

Mwenye carina? [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haki mbavu sina
 
Mlolongo nakumbuka ulinifata inbox ukihitaji gari nakumbuka nilikutumia picha zake ukasema gari Yangu ni Carina ti ni ya kizamani,sasa sijui umepigwa gari tena ambayo umeanza kutumia pesa kiasi hicho...
Mkuu hiyo gari yako umenunua ya Aina gani?
Una DATA zake kumbe mkuu? alikwambia carina yako ni ya kizamani eeh?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…