Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Acha kufanyia service vichochoroni.
Hiyo sio bili ya TOTAL au pengine panapoeleweka
 
Nayo sio mbaya

Mwenzio mwaka mpya nataka kuagiza gari mpya, but be4 this, hii miezi miwili iliyobaki nataka nikae na rafiki yangu pale NIT, anipige brush kuhusu kifaa cha gari kikiharibika, huu mtumba mpya ukiingia bongo nakuwa expert sikanyagi kwa fundi tena, zaidi ya kufungua nut na kupachika kifaa kipya
Wazo zuri sana...
Ukishakuwa na gari au usafiri, kuna DIY ambazo kqma una muda unatakiwa kufanya mwenyewe.[emoji28][emoji28]..kwa mfano

1.... Kubadilisha ENGINE oil na oil filter
2....kubadilisha Spark plugs
3.....kubadilisha air cleaner
4....kusafisha MAF sensor***umakini unahitajika..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji28]
5....kubadili tairi lenye pancha na kuweka spare tire..
6.....Kusafisha/kubadili fuel injectors..umakini zaidi unahitajika..
7....Kubadili fuel pump na fuel filter
8.....Kubadilisha fuse mbovu....ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukulaza porini......hebu chukulia mfano fuse za taa kubwa ziungue, uko kati ya Wami na Segera saa sita za usiku..? [emoji28][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]...kama hujui kuunga fyuzi kwa kiwaya, hujalala tu porini..?

Hizi ni baadhi DIY muhimu kila dereva azifahamu, kwa sababu mojawapo inaweza kukuzingua porini...[emoji38]
 
Mazee naona mnaniandama kinoma.
Mbona fundi wangu namuamini sana. Kweli atakua kanipiga hata mimi classmate wake? Tena alikua hadi ananisaidia kugalaliza bei za vifaa.
Fundi mkweli kinyozi mzee..hao wengne ata akiwa ndugu yako utalizwa tuu
 
Wenye magar wMetagiana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi fundi aliniuliza mara ya mwisho kufanya service gari langu. Nikamwambia mie tangu niagize nikaanza kutembea nayo sijawahi kufanya intensive service mpaka ipate tatizo ndio naileta kwako...
Asante kwa kutuhamasisha tubaki na Anita zetu mkuu
 
Kitendo cha kuamka tuu na kuweka maji ya kawaida kwenye gar kimenisikitisha sana....kuna coolant maalum sio unaweka tu mimaj yako..we utakua unapigwa sana maana hujui gar
 
Kwa masikitiko makubwa napenda kukwambia kuwa umepigwa kipigo cha mbwa koko.

1.Oil Seal wamelamba 10K inauzwa
25K
2.Break Pads 35K zile nzuri wamekula 10K...
Hydraulic mim nanunua 115-120k..ya nissan
 
Back
Top Bottom